Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Reminding me,my ex alinifata kwa njia zote alibuma,akachukua no kwa rafiki angu, sijui hata ilikuaje alifanikiwa...jaribu that could be your way ya kumpata
 
Broo cha. Msingi jiamini kweli, wanaotaka kuoa hujiamini kwa kila hali. Be a strong man. Hamna ushauri, zaidi ya kujiamini,..! Nakutakia mafanikio baada ya kujiamini.!
Kaka Hamis to be honest Umemshauri sana, kaka big up bro
 
Kama unania ya kuoa na km bado hajaolewa nenda om kwao peleka posa kabisa nenda na baadh ya watu wazma ataona kwel upo serious
Inawezekana hajaolewa ila yupo ambae yuko commited nae kaka, ukapeleka barua ikakataliwa bro na kwa mtazamo wa mtoa mada hana kifua cha ku face failure na nimuoga wa kujaribu
 
Kama unania ya kuoa na km bado hajaolewa nenda om kwao peleka posa kabisa nenda na baadh ya watu wazma ataona kwel upo serious
Unaanzaje kwenda kwa wazazi wa mtu ambaye hata haupo kwenye mahusiano nae?
 
Reminding me,my ex alinifata kwa njia zote alibuma,akachukua no kwa rafiki angu, sijui hata ilikuaje alifanikiwa...jaribu that could be your way ya kumpata
Elezea baada ya kupata namba alikwambia nini? Isiwe ni maharage ya mbeya.
 
Dah kweli wanaume tunakwisha yaan Kutongoza mpaka utake msahada na je kwenye kufanya mapenzi itakuaje ss?
 
We mtokee kama mwanaume, kama hayupo tayari hakuna cha hatari atakachokufanya zaidi ya kukwambia sikupendi/sikutaki/nimeolewa/nina boyfrienda n.k.
 
Tafuta shughuli anayofanya.....ukionana nae jifanye una shida ya kikazi tu
so akupe mawasiliano yake kikazi tu
akishakupa mchunie kama wiki mbili hivi
lakini ukionana nae msalimie tu...

halafu anzia hapo kwenye shida ya kikazi taratiibu...teremka...
The Boss upo? Miss u...kwa hyo drama wewe ni noma..inaelekea ww ni simba mwenda pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom