Hapo kwenye mpesa lazima aingie tu line nguvu ya pesa kubwa sanamkuu omba namba yake afu mtumie mpesa laki afu kausha mwezi uone atakavyokuja res
Mwambie tu unachojisikia juu yake , we mwambie tu! Usizunguke
Ni kumpa za uso tu hakuna namnaKijiweni kwetu wanaita straight to the point. Mwanaume ujasiri bhana.
uyo hataki usumbufuInawezekana kuna ukweli kwanini anajihami hivyo!!
Hii ndo ule ufala sipendi, yaani kama ndo number yangu, wacha story ikatike.Wakuu katika kuzunguka huku na kule nilivutiwa na huyu mdada, sikuwa na papara baada ya utafiti wangu mdogo nimegundua ni mtu mwenye busara na pia anajiheshimu!
Sasa nimejitahidi mara kadhaa kuonana naye nikachemsha, na hata baada ya kuonana naye nimemuomba namba akakataa nikaona isiwe kesi, maana kupata namba yake sishindwi!!
Sasa nimepata namba yake mahali, na bado sijamtafuta maana nahofia kuharibu, uzoefu unaniambia hivi, kuchukua namba ya mtu bila ridhaa yake na isitoshe mwenyewe aligoma kutoa, mission huwa zinabuma.. Yan kushindwa kueleweka ni kukubwa kuliko kueleweka!!
Sasa wadau nipeni mbinu, maana nia ipo kama ataelewa lengo ni kumuweka ndani awe mke!!
Hehe..... What a Friday bash, yaani naita mashoga zangu tunapiga harambee kufinya hiyo 1ml afu na bado utatolewa nje.Jifanye umekosea namba mtumie 1Ml!!
Hahahah,,,,, hiyo itakua kiboko nigawie na mimi maana kuna mtoto humu namzimikia ila domo zege ni shidah!!!🙄😵me nina dawa inaitwa tongozamore ni pm, hii dawa ni balaaa ukimeza unakuwa na mzuka zaidi ya mlokole aliyeshukiwa roho mtakatifu ni mwendo wa kuflow mpaka mtoto aingie kwenye kumi na nane
I was here....Hahahah,,,,, hiyo itakua kiboko nigawie na mimi maana kuna mtoto humu namzimikia ila domo zege ni shidah!!!🙄😵
0766860896Nipe namba yake nikutongozee