Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,537
- 31,689
Wakuu,
Katika kuzunguka huku na kule nilivutiwa na huyu mdada, sikuwa na papara baada ya utafiti wangu mdogo nimegundua ni mtu mwenye busara na pia anajiheshimu.
Sasa nimejitahidi mara kadhaa kuonana naye nikachemsha, na hata baada ya kuonana naye nimemuomba namba akakataa nikaona isiwe kesi, maana kupata namba yake sishindwi.
Sasa nimepata namba yake mahali na bado sijamtafuta maana nahofia kuharibu, uzoefu unaniambia hivi, kuchukua namba ya mtu bila ridhaa yake na isitoshe mwenyewe aligoma kutoa, mission huwa zinabuma.Yani kushindwa kueleweka ni kukubwa kuliko kueleweka.
Sasa wadau nipeni mbinu, maana nia ipo kama ataelewa lengo ni kumuweka ndani awe mke.