Buguruni sehemu gani mkuu nataka siku moja nitembelee huko nielekeze kuanzia mwanzo hadi mwisho nataka nikapige na mimiKama vipi nenda buguruni kakamate mtoto piga rudi zako home
au nenda pale sinza (Ambiance) utajibebea wa mafunguBuguruni sehemu gani mkuu nataka siku moja nitembelee huko nielekeze kuanzia mwanzo hadi mwisho nataka nikapige na mimi
Buguruni ndo karibu nielekeze tu nikapige nirudi zangu homeau nenda pale sinza (Ambiance) utajibebea wa mafungu
Usije ukajaribu kutuma pesa, kama ulivyosema kuwa anajitambua, mwanamke anaejitambua ukimuingilia kwa gear humpati, tena anaweza akakudharau na ukamkwaza, ni kama unamnunua n.k., Usitumie pesa hata kidogo labda ni style za kina nanihino.Ndo hapo naweza tuma mpesa nikajichoresha tu!!
Anzia hapa.Tafuta shughuli anayofanya.....ukionana nae jifanye una shida ya kikazi tu
so akupe mawasiliano yake kikazi tu
akishakupa mchunie kama wiki mbili hivi
lakini ukionana nae msalimie tu...
halafu anzia hapo kwenye shida ya kikazi taratiibu...teremka...
Mkúu yangekuwepo mazingira ya kumzoea siyo shida, ila kwa kazi yake ni ngumu kuonana naye mara kwa mara... Ni hizi kazi za saa moja asubuhi mpaka saa 1 jioni, na weekend anashinda kwake tu!!Na katika ukaribu wenu kama utafanikiwa kumuweka karibu kikazi au chochote, usiwe mropokwaji na muongeaji sana, na usiwe na pupa unatoa gap za siku tatu mpaka wiki kwa kila jambo, yani hata kama mtapanga kuonana kwa ajili ya maongezi ya hiyo biashara au kikazi bas jifanye siku 2 hizi uko buzy ila tufanye siku flani, na kama utabahatka mkawa mko karibu kabla kumtamkia lengo kama kutakuwa na muda wa kupiga story kwa kila mmoja kuhusu maisha yake binafsi basi elezea nia ya kutaka kuoa na mpaka sasa hujapata mtu.
Kama ni hivyo basi weekend moja kagonge kwake akitoka nje, msalimie mwambie nilikuwa nina jambo muhim nataka kuongea na wewe kama utakuwa na muda na samahani sana kwa usumbufu n.k., akikataa usichoke kuomba hivyo hata mara 3 au 4 , sisi wasichana tunapoombwa maongezi na kukataa muda mwingine haimaanishi kama hatujakupenda au chochote tuna ile hali ya kuringa na kwa wanawake wanaojitambua ni kama principle kwao hiyo, vile wewe unavyohangaika kuomba maongezi na wewe wakati anaendelea kukukatalia huku anakuchunguza kumbe, siku akija kubali maongezi na wewe jua ameshajiridhisha hapo naongelea wanawake wanaojitambua, kwahiyo muda mwengine unakuta na yeye pia ameshakupenda lakin kuringa ringa ipo, kwahiyo usichoke kumuomba maongezi kama itakuwa kweli amemaanisha hataki ukaribu na wewe utajua tu kwa kuangalia majib yake na sura yake kama anafoka kwa hasira sana pia unaweza mpa muda na ukarudi tena, unajua sisi wanawake nao kutusoma na kutujua inachukua muda mno, mana mtu akishatendwa huko basi akijatongozwa na mwengine hasira zote wamaliziwa wewe lol, kama umempenda usichoke.Mkúu yangekuwepo mazingira ya kumzoea siyo shida, ila kwa kazi yake ni ngumu kuonana naye mara kwa mara... Ni hizi kazi za saa moja asubuhi mpaka saa 1 jioni, na weekend anashinda kwake tu!!
Asante nitafanyia kazi hili!!Kama ni hivyo basi weekend moja kagonge kwake akitoka nje, msalimie mwambie nilikuwa nina jambo muhim nataka kuongea na wewe kama utakuwa na muda na samahani sana kwa usumbufu n.k., akikataa usichoke kuomba hivyo hata mara 3 au 4 , sisi wasichana tunapoombwa maongezi na kukataa muda mwingine haimaanishi kama hatujakupenda au chochote tuna ile hali ya kuringa na kwa wanawake wanaojitambua ni kama principle kwao hiyo, vile wewe unavyohangaika kuomba maongezi na wewe wakati anaendelea kukukatalia huku anakuchunguza kumbe, siku akija kubali maongezi na wewe jua ameshajiridhisha hapo naongelea wanawake wanaojitambua, kwahiyo muda mwengine unakuta na yeye pia ameshakupenda lakin kuringa ringa ipo, kwahiyo usichoke kumuomba maongezi kama itakuwa kweli amemaanisha hataki ukaribu na wewe utajua tu kwa kuangalia majib yake na sura yake kama anafoka kwa hasira sana pia unaweza mpa muda na ukarudi tena, unajua sisi wanawake nao kutusoma na kutujua inachukua muda mno, mana mtu akishatendwa huko basi akijatongozwa na mwengine hasira zote wamaliziwa wewe lol, kama umempenda usichoke.
Hizo ni assumptions tu... Wtf hana huyo mtu?Bila shaka huyo mwanamke atakuwa ana mwanaume wake ambaye wanapendana sana. Hivyo basi hana haja na wewe au mwanaume mwingine yeyote yule. Hebu kuwa na busara, kwani sio kila mwanamke umuonaye na umpendaye aweza kukukubali au kukupenda.