Msaada, nimueleze kaka juu ya tabia hii ya mkewe?

Dogo mchomekee konga hafu unaunyuti
Maana huyo shem ako anataka ladha tofauti hivyo uspofanya hivyo ataenda gongwa namajitu mengine kitaa.
Me mashemej hata wake za wajombaang wakijipinduaga huwa nawabinuka vzuri sana hafu nauchuna
 
Kwangu mimi hicho kitu hapana
 
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.

Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.

Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.

Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
You are the best... Muelezee bro ila kwa njia nyingine, ucmwambie direct nn kinaendelea... Jaribu kuzunguka zunguka
 
Mle tu..mkuu...kama hujamla huyo..atakuyengenezea CINEMA.. HUTOONGEA NA KAKA YAKO MAISHA
.wewe MLE...KWNZA...hapo UTAKUWA UMESHIPA MPINI..bila hivyo akikugeukia huyo SHEMEJI YAKO..UTAJUTA
 
usiende huko. tafuta kazi nyingine sehemu nyingine

huyo shemeji yako mwambie asikuzoee zoee
 
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.

Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.

Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.

Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
Mweleze tu la sivyo atakushawishi mpaka utazini naye ugovi utakuwa mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom