Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.
Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.
Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.
Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
Basi anakutaka wewe
Hebu kanyonye kwanza mtoto , kwa jibu lako la awali tu hauna sifa ya kuchat na mimi. Over.Basi anakutaka wewe
Asante ila acha unoko jf sio ya baba yako
Pole kwa roho ya kwann lakini sisi nao ni binadamu kama nyinyi tuna haki ya kutumia jf
Asante sanaduh , usimwambie blaza, cha kufanya apo ni kumpa onyo kali uyo shem, maana atakuharbia maisha aisee atakapokuja kukugeuzia kibao maana utachukiwa mpka na wazaz wenu na ndgu wengne kwa mtego atakaokuekea, watakuona mpuuzi
na uongee nae kikauzu , mute za kutosha mpka ahisi kua we ni hanithi askufatilie zaid {iyo chumvi kdgo}
mpe onyo kali kabla amjafikia uko [emoji115][emoji115]