Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

flowers

Member
Jul 4, 2017
70
201
Helo guys.

Moja kwa moja kwenye mada

Mimi Nina jirani yangu ambaye amenitunuku kushare nami baadhi ya Hali yake ya maisha

Story ni ndefu kidogo but ntajitahidi kuikatisha.

Huyu kaka anaishi na huyo Dada Kama mke na mume.Na wamezaa mtoto mmoja.Kaka au baba Ana watoto wengine 5 kwa wamama tofauti.Huyu kaka( umbo lake dogo dogo kumuita Baba naona nitumie kaka tu.

Huyu kaka hapo nyuma Kati ya hao Baby mama zake mmoja aliwahi muoa ndoa ya Kanisani miaka kama 7 wametengana bila talaka na kushare matunzo ya mtoto kila mmoja akiishi kivyake since then.

Sasa huku na huku akaja kumpata huyu dada wote ni wafanyakazi.Wakaanza ishi Ile sogea tukaze.Sasa ni huyu kaka amavyomistreat huyo Dada ni huruma

Mfano.Akilewa anaweza mpiga Sana Kuna kipindi alimvunja mguu akawekewa hogo akaona mbona nitakufa Mana Ana Ile tabia akilewa tu atarudi atamvuta na hata mbele za watu anaweza akasema we mwanamke twende chumbani ukanipe Yaani Ile kumstiri hata atumie lugha ya uungwana hakuna akikataa atampiga mangumi Sasa mwaka juzi Mambo yalivyozidi alitaka kuondoka akajitegemee akagundua ana ujauzito akawa Mambo ya single maza akaamua akomae tu azalie hapo huenda huyu Kaka akabadirika lkn wapi ni vipigo majirani tunasikia na huyu dada Ana familia ndogo ya upande mmoja wa mama tu Baba yake hakuwa wa nchi hii na ndugu wengi wa mama hawapo ni yatima wa hivyo.

Sasa akiwa anakomaa hivyo hivyo ili azae kwanza Kuna siku jamaa mchana kweupee alimjia na hawara wote wakiwa chakari na moja kwa moja kitandani wakafanya tendo akina (hii nyumba wanayoishi kajenga huyo kaka)

Akaja kuomba ushauri lkn kikubwa niliangalia Hali yake Kama anaweza vumilia avumilie kwanza ajifingie.....ilo likapita huyo kaka akajifanya kujutia kosa na kusema eti yule mdada aliyemleta alikuwa mpenziwe wa zamani sio mpya.

Kweli ilo likapita vituko vidogo vidogo akavumilia na siku zikiwa bado kidogo kujifungua aliamua ahame chumba wanachoishi ili ajisikilizie na akawa anakifunga akilala jamaa Kama kawaida akawa amelewa akakivunja Yale makelele ya huyu Dada yakaamsha majirani wakaja kumtemtea na wakisema wewe mbona huyo Dada anakaribia kujifungua na alikuwa anaumwa why ulazimishe lkn unaambiwa baada ya wale majirani kuondoka jamaa alimbaka hivyo hivyo

Kesho yake ilibidi akimbilie hospital na kumuelezea Dr.Changamoto kwani pamoja na ujauzito alikuwa anaumwa na vipigo alivyokuwa anapata

Anaeleza Dr.Ikabidi amuandikie Bed rest ili siku za kujifungua zimkutie hapo hapo hospital kweli Mungu saidia kwa Operation akajifungua.

Sasa kawaida mwanamke akijifungua Baada ya siku na mtoto Kama hakupata changamoto lazima arudi.Atarudi wapi ikabidi arudi kwa yule yule katili.

Amerudi Leo akiwa na mshono wa Operation ya kujifungua Jamaa eti Ana hamu akiwa na mtoto mchanga alimwingilia kwa nguvu na alipokuwa.anajitetea akawa anamuuliza kidonda si kipo kwa juu sio kwa Bibi?aliishi hivyo.Alibyoona Hali inazidi ikabidi akatoroka kukimbilia kigamboni kwa rafiki ake huko alikaa mpaka mtoto alipochangamka.Sasa kawaida huwezi kaa kwa rafiki muda mrefu na yeye Ana maisha yake.Sasa akawa bado kujipanga na anavyosimulia alitaka kila pesa anayopata toka kazini awe anamalizia ujenzi.kwenye site yake Mana akisema apange lile kusudi litafifia Ina maana akaamua apate mateso huku akikomaa na sehemu Walau kinyumba Cha kuanzia sio kupanga.

Akiwa huko ndugu wa huyu bwana wakapata habari ya mateso yake wakamtafuta na kwenda kumsihi Sana arudi kwanza.mana pamoja na ushenzinwa huyo Bwana bado huyo mtoto aliyezaliwa ni wa kwake na Ana haki Fulani Fulani Kama mtoto.Kama aliweza vumilia yote why asiumilie tu kwa jili ya mtoto ili mtoto awe na kwao Mana vita ukiipiga ukiwa nje ni tofauti na ukiwa ndani na yule bwana akajifanya oooh nipo peke angu mmenikimbia eti akarudi(Aiseeeee)

Kurudi safari hii ni Kama alitulia tukaona mpaka Jumuiya ya Kanisani wote birthday za mtoto mwaka wa kwanza shwari Birthday ya pili shwari maisha yakabadirika kiasi chake maana Mimi nipo miaka mingi kabla huyu kaka kuhamia na hao wake zake na huyu wa Sasa.
Iyo ni changamoto ya Huyo Baba au tumwite kaka.

Sasa kumbe eti tukiacha hizo changamoto huyu Kaka Ana mtoto wake wa kiume alizaa kipindi anasoma UDSM wale watoto wanaozaliwa na wanachuo kuzalisha wakazi.wa jirani changanyikeni.Sasa wakati anapambana na baba kumbe Tena huyu mtoto wa kwanza wa huyu Baba huwa ANAISHI Naye siku zote hata aachane na nani.Sasa akagundua huyu kijana wa bwana ake pamoja alimchukulia Kama mtoto Yaani hagusi chochote yeye ni kula kulala kwenda shule Sasa yupo chuo.

Akisema hata asaidie kufyeka majani nje ya nyumba kijana huyu ambaye hata miaka 20 bado anaweza akamchambua huyu Dada mpaka basi 'hivi wewe unanituma Kama nani baba yangu mwenyewe simfulii hata shati lake wewe si utaondoka tu Kama hao wanawake zake wengine??Mimi huwa siguswi.mimi kwanza una tofali lolote hapa alikuwepo Mama aliyejifanya kachangia tofali si aliondoka mwenyewe?unagusa mkia wa nyoka utakung'ata mtoto anasema hivi sio kwa kuogopa anasema Live na majirani mnasikia....kwa Sasa anasema ushukuru umezaa na Baba huyu mtoto ndo anakuwela hapa Nyumbani la sivyo ungeshaondoka(lakini wengine waliondoka nao walikuwa na watoto sema mtoto mmoja mmoja)

Nyie Kuna watu Wana mioyo ya chuma huyu jirani bado yupo na kazi anayo. Sasa unaweza ona Kama labda Kuna kitu anafaidi...maskini akaamua kufungua Duka la vya kula Kama la Mangi ili kusaidia maana huyo Bwana mbali na kukaa kweli kwenye nyumba yake si mtoaji Sana.Duka kila siku.li atolewa vitu vya matumizi mwisho wa mwezi Tena anajaza bwana anasema eeeh ndo kazi ya Duka.

Pia unaambiwa anaweza akaelewa akaamua tu kumwambia unajua wewe Mimi na wewe tumezaa kwa Bahati mbaya na huyu mtoto ndo anatuunganisha? Halafu baadaye anaomba msamaha kwa nauli eti ilikuwa ya ulevi tu.

Haya huyo kijana aliamua kuwa Aishi kwa mama yake Mana anasoma vile vyuo vya certificate vya kwenda na kurudi Yaani anakuja weekend tu Hata amkute huyu Dada wapi nje au ndani hamsalimii.na akikuta chakula atapakua na atakula kila weekend anakuja kwa baba yake Matendo haya alijaribu kumshirikisha huyo Baba akamwambia Sasa Kama huyu mtoto hata Mimi anakataa kunisaidia kufua hata nguo anasema kila mtu Ana mikono tumuue Ana kiburi tu achana Naye. Kifupi ANAISHI hivyo eti kisa mwanaye awe na baba figure kwe ye maisha yake akiogopa kuitwa Single maza.

Japo lengo lake kuu ajitahidi kule kwenye site siku akiondoka asiende na mtoto kupanga na Asave save tupesa Mana hapo anapokaa si halipi Kodi na hili limekuwa ni fimbo kwake Mana akidai matumizi bwana huwa anamuuliza hivi wewe hapa unalipia Kodi? Si unakaa bure? Mpaka ulalamime matumizi (kumbuka wengine walikimbia kukimbiwa haya mateso yeye anakomaa na katoto make maskini.

Basi ndugu zangu ndo Hali za baadhi ya wanawake kwa kuogopa kuitwa Single maza.Na hii inasbabishwa na mentality ya jamii Social justice ya kuwajudge wanawake Matokeo yake mtu anaamua kuishi kwenye maisha ya mateso ya kupitiliza. Na Ile ya kupigania mtoto Aishi na baba yake akue vizuri huku wewe unateseka kiasi hiki inafikilisha.

All men try to treat your women nicely because they are human being like you They cherish you, giving birth to your children, cooking for you doing everything thing possible for you but what they get in return? ambush, disrespect, insult, pain, raping them while in sickness, killings. But know why you will never escape the anger from women who you abuse..is better to change your ways because a woman can decide to finish you in a minute.

Watch out!
 
Kuna vitu wala havihitaji ushauri wa watu. Ila wanasemaga ukipenda chongo waona kengeza.
 
Helo guys.
Moja kwa moja kwenye mada
Mimi Nina jirani yangu ambaye amenitunuku kushare nami baadhi ya Hali yake ya maisha
Story ni ndefu kidogo but ntajitahidi kuikatisha.

Huyu kaka anaishi na huyo Dada Kama mke na mume.Na wamezaa mtoto mmoja.Kaka au baba Ana watoto wengine 5 kwa wamama tofauti.Huyu kaka( umbo lake dogo dogo kumuita Baba naona nitumie kaka tu.

Huyu kaka hapo nyuma Kati ya hao Baby mama zake mmoja aliwahi muoa ndoa ya Kanisani miaka kama 7 wametengana bila talaka na kushare matunzo ya mtoto kila mmoja akiishi kivyake since then.

Sasa huku na huku akaja kumpata huyu dada wote ni wafanyakazi.Wakaanza ishi Ile sogea tukaze.Sasa ni huyu kaka amavyomistreat huyo Dada ni huruma

Mfano.Akilewa anaweza mpiga Sana Kuna kipindi alimvunja mguu akawekewa hogo akaona mbona nitakufa Mana Ana Ile tabia akilewa tu atarudi atamvuta na hata mbele za watu anaweza akasema we mwanamke twende chumbani ukanipe Yaani Ile kumstiri hata atumie lugha ya uungwana hakuna akikataa atampiga mangumi Sasa mwaka juzi Mambo yalivyozidi alitaka kuondoka akajitegemee akagundua ana ujauzito akawa Mambo ya single maza akaamua akomae tu azalie hapo huenda huyu Kaka akabadirika lkn wapi ni vipigo majirani tunasikia na huyu dada Ana familia ndogo ya upande mmoja wa mama tu Baba yake hakuwa wa nchi hii na ndugu wengi wa mama hawapo ni yatima wa hivyo.

Sasa akiwa anakomaa hivyo hivyo ili azae kwanza Kuna siku jamaa mchana kweupee alimjia na hawara wote wakiwa chakari na moja kwa moja kitandani wakafanya tendo akina( hii nyumba wanayoishi kajenga huyo kaka)

Akaja kuomba ushauri lkn kikubwa niliangalia Hali yake Kama anaweza vumilia avumilie kwanza ajifingie.....ilo likapita huyo kaka akajifanya kujutia kosa na kusema eti yule mdada aliyemleta alikuwa mpenziwe wa zamani sio mpya.

Kweli ilo likapita vituko vidogo vidogo akavumilia na siku zikiwa bado kidogo kujifungua aliamua ahame chumba wanachoishi ili ajisikilizie na akawa anakifunga akilala jamaa Kama kawaida akawa amelewa akakivunja Yale makelele ya huyu Dada yakaamsha majirani wakaja kumtemtea na wakisema wewe mbona huyo Dada anakaribia kujifungua na alikuwa anaumwa why ulazimishe lkn unaambiwa baada ya wale majirani kuondoka jamaa alimbaka hivyo hivyo

Kesho yake ilibidi akimbilie hospital na kumuelezea Dr.Changamoto kwani pamoja na ujauzito alikuwa anaumwa na vipigo alivyokuwa anapata

Anaeleza Dr.Ikabidi amuandikie Bed rest ili siku za kujifungua zimkutie hapo hapo hospital kweli Mungu saidia kwa Operation akajifungua.

Sasa kawaida mwanamke akijifungua Baada ya siku na mtoto Kama hakupata changamoto lazima arudi.Atarudi wapi ikabidi arudi kwa yule yule katili.

Amerudi Leo akiwa na mshono wa Operation ya kujifungua Jamaa eti Ana hamu akiwa na mtoto mchanga alimwingilia kwa nguvu na alipokuwa.anajitetea akawa anamuuliza kidonda si kipo kwa juu sio kwa Bibi?aliishi hivyo.Alibyoona Hali inazidi ikabidi akatoroka kukimbilia kigamboni kwa rafiki ake huko alikaa mpaka mtoto alipochangamka.Sasa kawaida huwezi kaa kwa rafiki muda mrefu na yeye Ana maisha yake.Sasa akawa bado kujipanga na anavyosimulia alitaka kila pesa anayopata toka kazini awe anamalizia ujenzi.kwenye site yake Mana akisema apange lile kusudi litafifia Ina maana akaamua apate mateso huku akikomaa na sehemu Walau kinyumba Cha kuanzia sio kupanga.

Akiwa huko ndugu wa huyu bwana wakapata habari ya mateso yake wakamtafuta na kwenda kumsihi Sana arudi kwanza.mana pamoja na ushenzinwa huyo Bwana bado huyo mtoto aliyezaliwa ni wa kwake na Ana haki Fulani Fulani Kama mtoto.Kama aliweza vumilia yote why asiumilie tu kwa jili ya mtoto ili mtoto awe na kwao Mana vita ukiipiga ukiwa nje ni tofauti na ukiwa ndani na yule bwana akajifanya oooh nipo peke angu mmenikimbia eti akarudi(Aiseeeee)

Kurudi safari hii ni Kama alitulia tukaona mpaka Jumuiya ya Kanisani wote birthday za mtoto mwaka wa kwanza shwari Birthday ya pili shwari maisha yakabadirika kiasi chake maana Mimi nipo miaka mingi kabla huyu kaka kuhamia na hao wake zake na huyu wa Sasa.
Iyo ni changamoto ya Huyo Baba au tumwite kaka.

Sasa kumbe eti tukiacha hizo changamoto huyu Kaka Ana mtoto wake wa kiume alizaa kipindi anasoma UDSM wale watoto wanaozaliwa na wanachuo kuzalisha wakazi.wa jirani changanyikeni.Sasa wakati anapambana na baba kumbe Tena huyu mtoto wa kwanza wa huyu Baba huwa ANAISHI Naye siku zote hata aachane na nani.Sasa akagundua huyu kijana wa bwana ake pamoja alimchukulia Kama mtoto Yaani hagusi chochote yeye ni kula kulala kwenda shule Sasa yupo chuo.Akisema hata asaidie kufyeka majani nje ya nyumba kijana huyu ambaye hata miaka 20 bado anaweza akamchambua huyu Dada mpaka basi 'hivi wewe unanituma Kama nani baba yangu mwenyewe simfulii hata shati lake wewe si utaondoka tu Kama hao wanawake zake wengine??Mimi huwa siguswi.mimi kwanza una tofali lolote hapa alikuwepo Mama aliyejifanya kachangia tofali si aliondoka mwenyewe?unagusa mkia wa nyoka utakung'ata mtoto anasema hivi sio kwa kuogopa anasema Live na majirani mnasikia....kwa Sasa anasema ushukuru umezaa na Baba huyu mtoto ndo anakuwela hapa Nyumbani la sivyo ungeshaondoka(lakini wengine waliondoka nao walikuwa na watoto sema mtoto mmoja mmoja)

Nyie Kuna watu Wana mioyo ya chuma huyu jirani bado yupo na kazi anayo. Sasa unaweza ona Kama labda Kuna kitu anafaidi...maskini akaamua kufungua Duka la vya kula Kama la Mangi ili kusaidia maana huyo Bwana mbali na kukaa kweli kwenye nyumba yake si mtoaji Sana.Duka kila siku.li atolewa vitu vya matumizi mwisho wa mwezi Tena anajaza bwana anasema eeeh ndo kazi ya Duka.
Pia unaambiwa anaweza akaelewa akaamua tu kumwambia unajua wewe Mimi na wewe tumezaa kwa Bahati mbaya na huyu mtoto ndo anatuunganisha???halafu baadaye anaomba msamaha kwa nauli eti ilikuwa ya ulevi tu.

Haya huyo kijana aliamua kuwa Aishi kwa mama yake Mana anasoma vile vyuo vya certificate vya kwenda na kurudi Yaani anakuja weekend tu Hata amkute huyu Dada wapi nje au ndani hamsalimii.na akikuta chakula atapakua na atakula kila weekend anakuja kwa baba yake Matendo haya alijaribu kumshirikisha huyo Baba akamwambia Sasa Kama huyu mtoto hata Mimi anakataa kunisaidia kufua hata nguo anasema kila mtu Ana mikono tumuue Ana kiburi tu achana Naye.
Kifupi ANAISHI hivyo eti kisa mwanaye awe na baba figure kwe ye maisha yake akiogopa kuitwa Single maza.

Japo lengo lake kuu ajitahidi kule kwenye site siku akiondoka asiende na mtoto kupanga na Asave save tupesa Mana hapo anapokaa si halipi Kodi na hili limekuwa ni fimbo kwake Mana akidai matumizi bwana huwa anamuuliza hivi wewe hapa unalipia Kodi??si unakaa bure?? mpaka ulalamime matumizi..(kumbuka wengine walikimbia kukimbiwa haya mateso yeye anakomaa na katoto make maskini.

Basi ndugu zangu ndo Hali za baadhi ya wanawake kwa kuogopa kuitwa Single maza.Na hii inasbabishwa na mentality ya jamii Social justice ya kuwajudge wanawake Matokeo yake mtu anaamua kuishi kwenye maisha ya mateso ya kupitiliza .
Na Ile ya kupigania mtoto Aishi na baba yake akue vizuri huku wewe unateseka kiasi hiki inafikilisha.

All men try to treat your women nicely because they are human being like you They cherish you, giving birth to your children, cooking for you doing everything thing possible for you but what they get in return? ambush, disrespect,insult,pain,raping them while in sickness, killings,..But know why you will never escape the anger from women who you abuse..is better to change your ways because a woman can decide to finish you in a minute.
Watch out!
Shida za wanawake zipite kushoto hangaikeni na Libibi lenu
 
Back
Top Bottom