Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,298
- 17,851
Kwa umri wako ilitakiwa uwe shuleWakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.
Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.