Msaada, nimueleze kaka juu ya tabia hii ya mkewe?

Msaada, nimueleze kaka juu ya tabia hii ya mkewe?

Fanya maamuzi ya kiume bwana. Wala usimwambie kakako usije ukawavunjia watu ndoa. We kataa tu vishawishi vya shemeji yako huku ukimtishia kumuambia kakako akiendelea. Alafu avoid kukaa peke yenu wawili nyumbani. Cha msingi hawezi kukubaka.
 
Sawa mkuu wangu
 
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.

Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.

Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.

Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
Mwambie kaka yako ajue maana usipomueleza akijua ndo itakua hatari sana hivyo kuwa mkweli mueleze ila uongee ukweli tupu usiongeze neno
 
Back
Top Bottom