Sasa ufala wangu upo wapi???kama kaka anamadhaifu ni wajbu wa kaka kunambiaAcha ufala, mle. Usipomla ataliwa na masela wa mtaani. Sasa kipi bora? Ule wewe au aliwe na masela? Huwezi jua bro anaweza kuwa mzaifu ndio maana shem anahangaika nina experience ya hii kitu
Mtoto anakuwa wa mama+baba ila nitafanya uliyonambiaWe mtoto wa mama nini?mwanaume huwezi kumkoromea mwanamke?mwambie live asikulete upuuzi na mikosi kwenye familia yenu la sivyo utamwambia kaka ako...lazima umuonyeshe kitu anachokitaka ni kuleta laana kwenye familia yenu..man up acha kuwa mwepesi mwepesi
Ndugu,mwambie kaka yako, usipoangalia utakuja kusingiziwa hasa utakapokuwa ukimkwepa mara kwa mara, atakubambika kesi ya ubakajiWakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.
Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.
Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.
Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
Na iwe Hapana kwelikweli... Usithubutu.Kwangu hapana
Kila la kheriNi kweli sitathubutu