Msaada, nimueleze kaka juu ya tabia hii ya mkewe?

Okoa Mali ya nduguyo, ukikataa Mali inapelekwa nje alafu kaka yako analetewa magonjwa. huweZi jua kaka yako labda luku imekata na ndio maana anakuita alafu shem anafunguka usaidie. Nyumba Zimeficha mengi jamani. Mkate kiwi.
 
Anamaanisha labda jongoo hapandi mtungi[emoji23] miaka miwili unategwa hujanasa tu
Sina tatizo na sina waswas kuhusu uaname wangu nipo kamili ila hapo kwenye kunasa siwezi kunasa nimejifunza kuvumilia na kupotezea japo damu yanichemka
 
Okoa Mali ya nduguyo, ukikataa Mali inapelekwa nje alafu kaka yako analetewa magonjwa. huweZi jua kaka yako labda luku imekata na ndio maana anakuita alafu shem anafunguka usaidie. Nyumba Zimeficha mengi jamani. Mkate kiwi.
Hapo sasa ni wajibu wa kaka kunieleza mimi mdogo wake
 
Hakuna wazee huko kwenu??muite mzee wako mmoja mwenye busara,muelezee then akaongee na kaka yako,usiende wewe Kama wewe direct. Tuma mtu kupunguza ukakasi wa jambo na ilete tija za kitu uzima.
 
Muelezee brother kiume mkuu....ili isilete madhara kwa shemeji na nikupongeze sana kwa kuwa na msimamo!! Kuwa makini sana usimsaliti Kaka yako !!
Duh, ila ina ukakasi kiaina. Wife si atajenga bifu na dogo?
 
Hakuna wazee huko kwenu??muite mzee wako mmoja mwenye busara,muelezee then akaongee na kaka yako,usiende wewe Kama wewe direct. Tuma mtu kupunguza ukakasi wa jambo na ilete tija za kitu uzima.
Wazee wapo ila nahisi kama sitaaminika
 
Ukitaka kakaako akuuwe mle mkewe, na udugu utakufa wee bora usiende maana wanawake wana mbinu za hatari sana
 
Kaa nae shemeji yako mweleze kiume kuwa hutaki hicho kitu na mwambie akiendelea umeshakusanya ushahidi wa sauti na meseji hivyo akikusumbua unautoa kwa kaka yako na ndugu zako kwa ujumla. Pia usikubali kuishi hapo kwa kaka yako unaweza hata kuwekewa sumu wanawake waliopenda na kukataliwa si watu wazuri kuishi nao karibu
 
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.

Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.

Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.

Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
Hapana, usimwambie kaka yako,

Mwabie kwamba huwezi kwenda kuishi kwake kama akiweza akuache uishi unapoishi sasa muwe mnakutana kwa ajili ya mishe zenu tu

Kama anakusisitiza mwambie unamuogopa mkewe, yaani waweza kumwambia mkewe ni mkali au unamuogopa tu
lakini usimwambie kama anakutaka kimapenzi

yaani fanya juu chini umkwepe shemeji yako pia muweke wazi yaani mwambie anapotaka kutembea na wewe asiangalie wakati uliopo aangalie na madhara yatayotokea endapo ataisaliti ndoa yake

yaani inatakiwa uongee nae kwa upole na busara atakuelewa na ataacha mara moja tabia yake ya kukutaka kimapenzi

ikishindikana tafuta ndugu yako wa karibu au mtu mzima hapa napendekeza mama yako au mtu yeyote unayeona ana Busara na kuheshimika umwambie tatizo hili ila umsisitize taarifa zisimfikie kaka yako yaani amwite na amuelekeze kwa upole huyo shemeji yako anweza kuelewa

NB; UKIONA NI KING'ANG'ANIZI MPIGE SHOO YA KIBABE YAANI MTOMBE MPAKA ASHINDWE KUTEMBEA ILI SIKU NYINGINE AKOME KUKUSUMBUA
fanya hilo tukio hapo kwenye herufi KUBWA baada ya mbinu zote nilizokuelekeza kushindikana...Do at your own risk
 
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.

Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.

Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.

Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.
Mwabie kaka yako uko tayari kufanya kazi zake kwa bidii zote na uaminifu mkubwa ila akutafutie chumba mbali nahapo kwake na utawahi kazini kila siku, Ukimwambia tu tabia ya mkewe umekwisha dogo.
 
Kaa nae shemeji yako mweleze kiume kuwa hutaki hicho kitu na mwambie akiendelea umeshakusanya ushahidi wa sauti na meseji hivyo akikusumbua unautoa kwa kaka yako na ndugu zako kwa ujumla. Pia usikubali kuishi hapo kwa kaka yako unaweza hata kuwekewa sumu wanawake waliopenda na kukataliwa si watu wazuri kuishi nao karibu
Asante sana mkuu
 
Mwabie kaka yako uko tayari kufanya kazi zake kwa bidii zote na uaminifu mkubwa ila akutafutie chumba mbali nahapo kwake na utawahi kazini kila siku, Ukimwambia tu tabia ya mkewe umekwisha dogo.
Sawa mkuu
 
Mkuu wasiwas wangu ni kwamba naweza kumueleza ukweli baadae kaka akapatana na mkewe bifu likabak kwangu
Bora mwanamke akuletee shida kuliko kakaako unaemtegemea..madhara yapo kote ila usipomueleza kakaako akajua kabla yako atajua uliku unamega
 
Back
Top Bottom