Mwambie shem utamwambia kaka yako..na km kuna uthibitisho wa meseji au recorded calls itakuwa ushahidiMkuu wasiwas wangu ni kwamba naweza kumueleza ukweli baadae kaka akapatana na mkewe bifu likabak kwangu
Mwambie shem utamwambia kaka yako..na km kuna uthibitisho wa meseji au recorded calls itakuwa ushahidiMkuu wasiwas wangu ni kwamba naweza kumueleza ukweli baadae kaka akapatana na mkewe bifu likabak kwangu
sawa mkuu ngoja nijaribu kumpotezeaCha kukushauri;dont ever try kumweleza bro. ..lazma mwisho wa cku ataelewana na mkewe alaf we ndo utabaki kuonekana mbaya......just jiweke bize na kaz zako...dont give much of ur time kumzoea mke wa bro xana!!!
AmenUsikubali kuangushwa na ibilisi. Fahamu kuwa ibilisi huwa anaitumia sana jinsia ya -ke katika kufanikisha mambo yake. Kumbuka kilichotokea katika bustani ya Edeni.
Pia endelea kuwa imara kama alivyokuwa Yusufu alipokuwa akitakwa kimapenzi na mke wa tajiri yake (Potifa.)
Kwa hiyo kama hutaki kumwambia kakako unatakaje?? Basi mgonge tu!Mkuu wasiwas wangu ni kwamba naweza kumueleza ukweli baadae kaka akapatana na mkewe bifu likabak kwangu
Kwa bibi, kikojoleoSamahani mkuu papuchi ni nini???
Hatugombani, usiogope!Mkuu hapa hatugombani mimi nimeomba ushauri tuu hilo suala la kumgonga kwangu hapana
Wakubwa poleni na majukumu baada ya hapo naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu mimi ni kijana wa umri wa miaka 19.
Kaka yangu alioa miaka 3 iliyopita. Kaka huwa ananiomba niende kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini cha kusikitisha mke wa kaka yangu ananihitaji kimapenzi kwa muda wa miaka 2 sasa.
Nimekuwa nikijitahidi kumkwepa na kumpotezea. Sasa nimemalza shule kaka anataka tukaishi wote kwake ili kumsaidia kusimamia shughuli zake lakini nasita sana kwenda sababu ya shemeji na kaka ndiye ninayemtegemea.
Je wadau nimueleze kaka juu ya tabia ya mkewe? Maana sipendi hao watu wagombane.