Msaada: Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
1,145
Reaction score
1,344
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
 
Dah Wewe kama mimi asee,tupunguze tu huruma
2C2FC7F3-6E73-4936-9BBB-0C5DB08CDA46.jpeg
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
wewe ni mimi kabisa, alafu nina huruma sana, kila nikisema sasa hivi simkopeshi mtu nashindwa, mtu akiniambia tu shida yake namuonea huruma kama ninayo namuazima, ila after that nakosa comfidence kabisa ya kumdaui naanza kumkwepa.
 
Dunia imekua ya moto mpaka watu wanahamasishana roho ngumu....anyways mimi pia Niko hivyo mkuu, hata kama sio pesa ila siwezi resist kumsaidia mwenye uhitaji kama uhitaji huo upo ndani ya uwezo wangu
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
Mwenzangu na Mimi wewe,yaan mi ndo naanza na kujichekesha ili asikose amani
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
nilikuwa hivyo siku za nyuma. ili niepukane na hali hiyo ukija kwangu unakopa kama ninacho nakupa tu au ninakwmabia sina
 
Nimetembea pote pote hakuna na atakuwepo (Pambio la kanisani hapa wanaimba)

Sipo hivyo na sitakuwa hivyo nikikukopa siku ikifika simu utapigiwa hupokei nitakufuata nitakuambia sasa nimekuja kuchukua changu.

Aisee poleni ila nahisi ni kuwa mara nyingi mnawakopesha watu waliowazidi uwezo wa kifedha au mambo mengine that why mnakosa nguvu ya kudai.

Ila pia mnawakopesha watu wenye shida sana basi mnawaonea huruma kuwadai.

Note huwezi kudai acha kukopesha.

To yeye niko Iwambi nakuja unikope aftatu mshahara nimeuacha wote Mbeya pazuri.
 
Back
Top Bottom