Msaada: Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa

Msaada: Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa

Mm nikikopesha mtu huwa naomba asinirudishie na simdai ila simkwepi, Huwa inanisaidia sana sababu inapunguza idadi ya wanaonikopa maana anarudije kukopa na hakulipa deni?
Nilifanya hivi lakini niliona nazidiwa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii ni kweli, unakuwa umetia lock.
Kabisa mkuu, imenibeba sana. Kuna wale marafiki wana mizinga elf 5 mpaka 20 za ghafla, ukitaka kumfuta huyu wala usipate tabu, we tengeneza mazingira mkopeshe kuanzia elfu hamsini hadi 100 laki hapo utasave a lot.
 
Kiufupi;
kumkopesha rafiki yako ni njia mbadala ya kuvunja urafiki, akiomba 10k mchangie tu aftatu mwambie umemsaidia.
Kuna watu wanajua kuomba mkopo kwa hsia weewe!! mpaka unamuonea huruma kumbe ni lijambazi tu!

mm huwa ni msataarabu sana, kudai kwa pupa hapana,, siku ya kwanza nitakuja kudai, siku ya pili kudai, ya tatu kudai,, ya nne nakuja kivingne..
watu wapole wapole huwa tunadharaulika sana.
NB Maamuzi magumu ni muhimu, usicheke na nyani
 
Uoga huo ungekuwa unauanza baada ya kuhisi kuna kiumbe kinataka kukukopesha ungekusaidia sana
 
Wale wa elf kumu kumi ndiyo hawalipi kabisa, na mimi huwa nafurahi, kama mtu ana shida ya elf kumi anakukopa akiahidi kurejesha asiporejesha nakuwa na Amani kwa sababu hatakaa anikope tena.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?

Dooh pole sana! Uko uruma sana kma uwe unawasemehe ulowakopesha au kwa lugha nyepesi uwe unawapa tu
 
Na Mimi pia.

Nikimkopesha mtu ,inakua ni utumwa kuonana nae hasa kama muda umepita wa kulipa.

Mara nyingi hela niliohamua kumkopesha mtu, nachukulia kama sadaka tu.

Alete sawa,asilete sawa.

Kikubwa tuheshimiane.
 
Watu wengi tuko hvyo ila huwa tunajikaza tu na kuondoa aibu na kudai pesa
 
Heee aisee mi ntakua mburundi maana hizi itikadi zenu sijawahi kuzisikia...
 
Upo kma mm Bora mtu nimpebhela kuliko kumkopesha mtu akiniomba nimkopeshe Nampa tu
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
Moja kwa moja wewe sio mchaga,
 
Mm nikikopesha mtu huwa naomba asinirudishie na simdai ila simkwepi, Huwa inanisaidia sana sababu inapunguza idadi ya wanaonikopa maana anarudije kukopa na hakulipa deni?
LAbd Kama wanakukopa 10000
 
Back
Top Bottom