Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,168
- 47,653
Kila mtu ana ukomo wake wa kukopesha boss kutegemeana na kipato Kwako ni elfu 10, kuna wa elfu tatu, kuna wa milioni n.kLAbd Kama wanakukopa 10000
Kila mtu ana ukomo wake wa kukopesha boss kutegemeana na kipato Kwako ni elfu 10, kuna wa elfu tatu, kuna wa milioni n.kLAbd Kama wanakukopa 10000
Kila mtu ana ukomo wake wa kukopesha boss kutegemeana na kipato Kwako ni elfu 10, kuna wa elfu tatu, kuna wa milioni n.k
huwez ukamkopesha mtu milion ukasema unampunguza....
Haikuwa pesa yake ya mshahara ilikuwa ya idara.....???pesa ilivyongumu HIV nimkopeshe mtu milion nimpuuze haiwezkan Kama Nina milion 200..ashindwe kunilipa yee ila kumdai atakoma"huwez ukamkopesha mtu milion ukasema unampunguza...."
Dodoma leo kwanini? Usiseme ni nyingi sababu nyingi yako inaweza kuwa chache kwa circle ya watu wengine.
Binafsi miaka ya nyuma nilishawahi puuzwa na Tsh m4 na boss wangu ambaye alikuwa mkuu wa idara, miaka kadhaa imepita mpaka leo tunakaa na kunywa pamoja na wala hakumbushi pesa yake na mm nikajikuta sioni umuhimu wa kulipa na sijawahi kufikiri kumkopa tena.
Nakuelewa. Unajua mambo ya pesa watu wanatofautiana sana. Kuna mwingine sio kudai, hata kukopesha hakopeshi. Ana milioni za kutosha na hampi mtu hata elfu kumi. Wengine wanatoa pale wanapoonekana na watu tu na maharambee kanisani, wengine wanatoa hataki hata jirani ajue n.kHaikuwa pesa yake ya mshahara ilikuwa ya idara.....???pesa ilivyongumu HIV nimkopeshe mtu milion nimpuuze haiwezkan Kama Nina milion 200..ashindwe kunilipa yee ila kumdai atakoma