Msaada: Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa

Siku unayemdai akigundua unamuogopa atakuchapa na makofi ili umuogope zaidi na usimsogelee
 
wewe ni mimi kabisa, alafu nina huruma sana, kila nikisema sasa hivi simkopeshi mtu nashindwa, mtu akiniambia tu shida yake namuonea huruma kama ninayo namuazima, ila after that nakosa comfidence kabisa ya kumdaui naanza kumkwepa.
Mie nashauri kama mtu kaja ana anataka akopeshwe shillingi let say 100K , Basi unampima kutokana na jinsi mnavyofahamiana basi unamkadiria kiasi unacho weza mpatia tu kisiwe eti mkopo na maisha yanaendelea.

mfano mie juzi kati jamaa kaniomba 300K , akakamilishe kupata bodaboda ya mkopo, mie nikamwambia sinauwezo wa kukukopesha ila takupatia tu 50 elfu, sasas tafuta 250K..
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
Kuna mdau namdai naweza kumpigia simu hata wiki mzima asipokee simu ,anavunga kama haoni missed call zangu ,namtumia sms ya kawaida ,whatspp lakin wapi

Na siku akijibu anajitia anajivika matatizo ya dunia yote ili umuonee huruma..

Nlichokipanga sasa hivi kumkopesha mtu mwisho elfu 10 tu .

Mana nishakopesha watu takriban milion 2 kwa watu wawili ila simu zangu tu hawapokei

Hapa nawaza kuwaroga maana nimefua balaaa na hawa watu hata lengo la kunipa hawana .nishawapa hadi option ya kulipa kidogo kidogo lakin hata buku sijaambulia.

Kuna huyu mmoja nahisi anatumia ndumba ili nisahau lakin bado nimekuwa msumbufu kwake.
 
Ndio maana njia moja wapo ya uhakika ya kupoteza rafiki ni kukopa pesa, na ya pili ya uhakika ni kukopesha pesa.

OP, kama inakufanya unajisikia vibaya, NEVER LEND MONEY TO ANYONE. Problem solved.
Usipomkopesha urafiki unakufa pia
 
Mm nikikopesha mtu huwa naomba asinirudishie na simdai ila simkwepi, Huwa inanisaidia sana sababu inapunguza idadi ya wanaonikopa maana anarudije kukopa na hakulipa deni?
Hii ni kweli, unakuwa umetia lock.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mimi nimejifunza kudai pesa kiustaarabu na kwa utaratibu ila KUOGOPA nehiii!!
Hivi nipo njiani naenda kumwinda mdeni wangu wiki hii kafungua mwezi hajanilipa na simu hapokei alipokea only once nilipobadili namba.
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
Hiyo ni nidhamu ya uoga Mkuu inakubidi ujifunze kuwa honesty na wewe mwenyewe.

Ukitaka uondokane na hiyo hali kirahisi omba upitie wakati fulani hivi mgumu kimaisha afu tafuta msaada kwa hao unaowaonea huruma (asilimia kubwa kati yao watakukwepa) nakuhakikishia baada ya hapo utageuka kuwa na roho ngumu kama ya paka.
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
Tuko wengi, mm hua simuhofii wala kumuogopa. ila siwezi kumsumbua, pia mtu akija anataka kukopa namuuliza unarejesha lini. Basi nitamtafuta siku hiyo ya mapatano. Akisumbua hua naacha tu, nitakua namtafuta siku mojamoja.
 
Wewe pamoja na wote wenye tabia kama hizo ni ishara za wema na hofu kwa Mungu.
 
Na
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
Nami nna shida hyo tena nikimuona moyo unaenda mbio
 
wewe ni mimi kabisa, alafu nina huruma sana, kila nikisema sasa hivi simkopeshi mtu nashindwa, mtu akiniambia tu shida yake namuonea huruma kama ninayo namuazima, ila after that nakosa comfidence kabisa ya kumdaui naanza kumkwepa.
Wamesema soln ni kuwa na roho mbaya
 
Hi there/here!!

Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.

Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.

Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?

Ni Hali ya kawaida ya mtu muungwana, dawa yake, usikopeshe
 
Back
Top Bottom