MSAADA, Nataka KUJIUA

MSAADA, Nataka KUJIUA

Ungesema unafikiria kujiua na Sio unataka kujiua, hata hivyo pole nakushauri rudi kwa dr wako inawezekana dawa ulizokuwa unatumia hazikufanya kazi vizuri, historia yako itaweza kumpelekea dr kujua unasumbuliwa na aina gani ya depression, is it clinic or major depression? Umeshawahi kutumia aina tofauti za antidepressants? are you suffering from bipolar disorder? e.t.c. tafuta psychiatrist mzuri wengine ni mburula, good luck .

Thanks mkuu sokwe
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inaonyesha bado tatizo la saikologia yako bado lipo, na kwemba tafahdari rudi upesi kwa mtalaamu wa saikologia ili akufanyie tathimini na aweze kukupa msaada stahiki, kama ni dawa au ni ushauri. Zingatia sana.
 
jitahidi sana kuwa watu karibu usikae pekee yako ikiwezekana jitahidi sana kusikiliza hata nyimbo za kufariji pia jiweke mbali na makundi ya watu wa gomvi bila kusahau swala la kisaikolojia
 
Hiyo inaonyesha bado tatizo la saikologia yako bado lipo, na kwemba tafahdari rudi upesi kwa mtalaamu wa saikologia ili akufanyie tathimini na aweze kukupa msaada stahiki, kama ni dawa au ni ushauri. Zingatia sana.

Thanks mkuu piensia,kabla ya kuja humu nimetoka huko,na nikaona ni vema na wadau humu wanisaidie the way foward!
Thanks kwa wadau wote walio nishauri.
 
Last edited by a moderator:
Jana nimekula makange nikamkumbuka Nyani Ngabu. Anayamiss sana aisee. Makange ni sababu tosha ya kutaka kuendelea kuishi! Nasaka mahela tukafungue swahili restaurant in his home town. Utakuja kuwa mpishi ama niibe wa rose garden?
Hebu waza jinsi ugali ulivyo mtamu.....

Fikiria raha ya kupumua....

Bado unataka kujiua?
 
Last edited by a moderator:
Jana nimekula makange nikamkumbuka Nyani Ngabu. Anayamiss sana aisee. Makange ni sababu tosha ya kutaka kuendelea kuishi! Nasaka mahela tukafungue swahili restaurant in his home town. Utakuja kuwa mpishi ama niibe wa rose garden?

Makange au makande?
Aisee Mrs. Paw,makande ni soo,ahsanteni kwa kuniweka sawa King'asti na mimi niendelee kuyafurahia,LOL!
 
Last edited by a moderator:
ninavyopenda kula aisee.... nitakuja tu kupika...maana nafanya kazi ili nile teheee

Jana nimekula makange nikamkumbuka Nyani Ngabu. Anayamiss sana aisee. Makange ni sababu tosha ya kutaka kuendelea kuishi! Nasaka mahela tukafungue swahili restaurant in his home town. Utakuja kuwa mpishi ama niibe wa rose garden?
 
[SIZE=3 [USER=136634]Log out[/USER], kujiua siyo suluhisho la kukimbia matatizo.
Dawa ya kutibu tatizo ni kulizungumza kwa watu ili upate maoni na ufumbuzi wa tatizo hilo.
Ukiwa na tatizo halafu ukaamua iwe siri yako, wazo la kujiua linakua karibu sana.
Kwanza amini kwamba hauko peke yako hapa duniani mwenye tatizo la aina hiyo, wapo wengine pia wana matatizo tena zaidi ya hayo ya kwako na bado wako hai.Na kwa kuwa hao wengine wako hai, maana yake kila tatizo huwa lina ufumbuzi wake.
Kujiua ni ishara ya kushindwa.Usikubali kutegwa na shetani ukasogezwa kwenye wazo la kujiua, wako waliojaribu kujiua ikashindikana na kwa bahati mbaya wakapata ufumbuzi wakiwa wameshapata ulemavu kutokana na jaribio la kutaka kujiua.
Kwa hiyo Log out pambana na ushinde haya majaribu, "Ukiamini utashinda".
[/SIZE]
 
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

naomba kujua umri wako na chanzo cha matatizo yaliyokufanya uwe chizi awali ndo naweza kukushauri vizuri sana
 
Huyu anajichelewesha nenda TTCL hii ni kampuni ya simu waombe zile waya wanazotumia kuunganisha mawasiliano ni nyeusi zipo mbili zimeungana alafu ukishapata tafuta mti wa ubuyu mzambarau kisha panda juu kabisa jitundike dakika mbili unajaza ndoo unarest in pc mkuu, Asante kwa kufata ushauri wangu mungu akubariki!!!
 
Back
Top Bottom