Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
- #101
Nalikemea roho ya mauti na itoke katika jina la Yesu Kristu aliyetufia msalabani. Fanya mafungo, omba Mungu kwa imani yako pia shirikisha wale watu wa Mungu ambao wataweza kukuombea kikamilifu. Kama alivyokushauri member hapo juu nami nakupa namba za watumishi wafuate watakusaidia sana nazo ni 0655940940, 0716469046, 0768261624, 0786381515, 0769940940 anaitwa Mtume Vale Bofu anapatikana maeneo ya Temeke ukishuka Pile Bar unaulizia kanisa lake ni hatua kama kumi toka barabarani. Hizi namba sina hakika kama zinatumika tena zote maana ni muda ninazo ila hakika ni lazima atapatikana na nyingine katika hizi wanatumia wachungaji wake. Pole sana. Na Mungu atakuponya.
Amen,barikiwa sana mkuu Zogwale
Last edited by a moderator: