MSAADA, Nataka KUJIUA

MSAADA, Nataka KUJIUA

Mkuu grafani11,hata bible inasema mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake,asije akajihesabia haki machoni pake.
Sasa mimi nimekuja hapa kuomba namna ya kuondokana na wazo la kujiua,anatokea mjinga ananiambia nikalale zimamoto yanapoenda magari kasi,huyu kumwita f.a.l.a au i.d.i.o.t nitakuwa nimekosea?
Nadhani ndiyo majina yanamstahili.
Mheshimiwa na ni Biblia hiyo hiyo iliyosema "samehe saba mara sabini kwa siku, na ni Biblia hiyo hiyo iliyosema "akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na la kulia. Akulazimishaye kutembea maili moja nenda naye mbili. Akunyang'anyae kanzu mpe na joho pia".
 
Last edited by a moderator:

Du!
Ngoja nijinoe na huku,sijazoea mkuu grafani11,I always call spade a spade and not a spoon.
"Matusi" ninini?
 
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
----------------------

UPDATES

----------------------

Nawashukuru sana wote mlio nishauri katika uzi huu.
MUNGU awabariki.
Nilifanikiwa kuonana na watumishi wa MUNGU baadhi mlio recommend,na walinipatia huduma stahiki.
Infact,ilikuwa demonic case,rather than Phsychiatric kama nilivyo dhani.
Nipo sawa kabisa kimawazo sasa.
MUNGU AWABARIKI WOTE.

asante kwa updates, wanasema and l agree with them "the devil is the author of all evil in this world" so ni safer kukimbilia kwa "authority wa mambo mema na mazuri siku zote".
Ubaki na amani ya Mwenyezi Mungu.
 
Kwa wasifu wa Jina lako sikutegemea kama "ungeBWABWAJA" kiasi hiki! au nawe unamanage stress zako humu??!

Kwa kweli nimesoma post mbaya sana humu ndani ambazo hazijibu wala kutoa msaada kwa aliyeanzisha uzi huu.

Nyie binadamu mlioandika maneno ya ajabu bila kumjibu au kutokumjibu Mungu awasaidie haya mnayomtakia yasiwajie nyie au watu wakaribu nanyi.

Wewe ni lazima ujibu kila thread iliyomo humu ndani?? Mnataka tu kuongeza vinamba vya vijiposts mlivyoandika ndani ni utumbo tu.

Ni lazima kweli muingie humu badala ya kusoma na kusepa mnaanza kuandika ya ajabu, nyie na roho chafu inawasaidia nini?

Mnamwambia ajiue hivi kweli nyie mnauamuzi katika maisha yenu. Na mie namsalia huyu
Kwa aibu embu rudieni posts zenu na mzifute, huu uzi alioanzisha mnajua unaweza saidia watu wangapi katika situation yake? Au mnadhani hakuna wanaoingia jf au forum zingine kutafutaka majibu na ushauri bila kupost?

Kama hukutoa msaada wa kumjibu au kumpa pole, basi na ukaandika maneno ya ajabu basi wewe unasikitisha na nafurahi mie sio nduguyo.
 
Ubarikiwe sana kwa kugundua kuwa ni mapepo na yameshindwa
 
Du!
Ngoja nijinoe na huku,sijazoea mkuu grafani11,I always call spade a spade and not a spoon.
"Matusi" ninini?
Mkuu hivi majuzi niliposikia lile tukio la daktari aliyejunyongea gesti kule moro, nikawa naogopa, na kujiuliza asije kuwa ushauri wote tuliotoa humu haukufanya kazi!!! Nafurahi kwamba upo gado...
 
tokaaaaaaaaaa pepo mchafu tokaaaaaaa kuanzia sasa baaada tu ya sala hii fupi nenda kwa aman ukalebata Jesus amekponya AMEN
 
Kama umeshawaona wana saikolojia na watumish wa mungu mbalimbali ila bado hali iko pale pale we chagua uamuzi sahihi utakaokuweka huru,kama umeamua kabisa kujiua kutoka moyoni basi fanya hivyo maana umeona hilo ndo jibu la matatizo yako,rest in.peace
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
----------------------

UPDATES

----------------------

Nawashukuru sana wote mlio nishauri katika uzi huu.
MUNGU awabariki.
Nilifanikiwa kuonana na watumishi wa MUNGU baadhi mlio recommend,na walinipatia huduma stahiki.
Infact,ilikuwa demonic case,rather than Phsychiatric kama nilivyo dhani.
Nipo sawa kabisa kimawazo sasa.
MUNGU AWABARIKI WOTE.

Wewe jiue tu kwani una faida gani duniani?
 
nenda kwa wanasaikolojia wakushauri kwa sababu wakati huu ndio unahitaji sana ushauri kuliko wakati ule wa nyuma pia omba sana mwenyezi mungu kwani atakusaidia biblia inasema mungu ni kimbilio letu sote na nguvu kuu hutoka kwake.
 
Pole sana na karibu tena duniani, enjoy maisha yako ukimtumainia Mungu siku zote.:clap2:
 
wewe inabidi ugongwe na kibajaji ili usife nakuambia hutarudia tena kwa mshtuko utakao pata
 
"sintakufa bali nitaishi nami nitayasimulia matendo makuu ya Mungu" haya kiri sasa na umshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom