MSAADA, Nataka KUJIUA

MSAADA, Nataka KUJIUA

Hatua ya kwanza: jisamehe wewe mwenyewe, samehe yeyote unayedhani amewahi kukukosea, samehe wote uliowakosea.

Hatua ya pili: Tazama maisha kwa mbele (yaani future), achana na ya nyuma (past events), panga mipango ya kuboresha maisha ya kesho.

Hatua ya tatu: Mawazo ya kujiua ni mawazo ya kuona maisha hayana thamani, achana nayo, unathamani kubwa sana kuliko binadamu yeyote (aliye hai au aliyekufa); kumbuka, hujafanana na binadamu yeyote, hivyo na dhamani yako haiwezi kulinganishwa na mtu au kitu kingine chochote.

Hatua ya nne: Jikumbushe jambo au tukio maishani ambalo limewahi kukupa furaha na amani ya nafsi. Kila wazo la kujidhuru linapokuja akilini, geuka mara moja na kutafakari jinsi ilivyokuwa burudani kwa tukio la furaha.

Hatua ya tano: Rudia hatua ya nne mara kwa mara. Utashangaa baada ya muda wazo baya hukosa nguvu na taratibu hutoweka kabisa kwenye fikra zako.

This is awesome!
Nitazingatia mkuu cabhatica
 
Last edited by a moderator:
Nenda pale kawe Tanganyika Pecas kwenye kanisa la UFUFUO NA UZIMA kesho ijumaa saa kumi jioni omba kuonana na mchunganji Josephat Gwajima au Frank wakuombee hiyo roho ya mauti itoke.
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

pole sana ndugu

jaribu kukutana na watumishi wa Mungu wakuombee maana unaambiwa hakuna lisilowezekana kwa Mungu. na imani yako ndo itakuokoa.
 
Kama utakuwa umeshindwa kupata ushauri mzuri na bado ukahitaji kujiua tafadhal njoo huku mtwara tuongeze ngunu waweza pata soft death

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kufa sio solution ya tatizo unachotakiwa ni kumuomba tu Mungu aiondoe roho ya maut inayokusumbua jaribu kuwatafuta viongoz wa din wakuombee nawe uwe na iman hal hyo itakuisha kujiua sio suluhsho la matatizo,bal n kujichumia dhambi tu.sal kutokana na iman yako
 
kufa sio solution ya tatizo unachotakiwa ni kumuomba tu Mungu aiondoe roho ya maut inayokusumbua jaribu kuwatafuta viongoz wa din wakuombee nawe uwe na iman hal hyo itakuisha kujiua sio suluhsho la matatizo,bal n kujichumia dhambi tu.sali kutokana na iman yako
 
shika adabu yako!
teh teh teh!!
images
 
Pole ndug mshukur Mungu wk kwa kuktp hat fursa ya kujua uk kweny tatiz cn wot wanaopat hiy fursa hi ni hatua pia umepig MAOMBI ndio kil k2 huy ni shetan tu usimpe nafas nend kuna kanisa lik ilala panaitwa kwa SALU han din yy atakuombea naiman utapona
 
Futa hayo mawazo...hili lidunia litamu mkuu, unataka kutuachia bila ridhaa ya mungu.
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

Kama wewe ni ccm, jiue tu huna faida.
 
Nashukuru Lady doctor,hivi jana nilikuwa kwa physiochologist,ila nimetaka mawazo yenu maana nimeona ushauri wa wanasaikolojia nimeupokea siku zote,ila msongo wa mawazo upo pale pale

basi jaribu kujikeep bz na kazi, friends, bible na muweke Mungu mbele kwa kila jambo na ninaamini atakusaidia. Then pendelea kusoma au kuangalia move za kufurahisha zikufanye utabasamu muda wote na kusahau machungu uliyonayo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom