Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
- #121
umerogwa aisee. hakikisha hujiui. pole sana. ngoja niwaite akina Passion Lady na nduguye Lady doctor wakupe maushauri. mkuu wewe ndo Washawasha?. mia
Mie sie Washawasha mzee wa ku Log Off!
Mie na Log out mkuu figganigga.
Hata kama nimerogwa,tayari nimepewa mawasiliano na watumishi wa Mungu humu,naamini Mungu atanifungua.
MIA.
Last edited by a moderator: