Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

MR Trans

Member
Apr 18, 2019
34
24
Wakuu habari za wakati huu, poleni kwa majukumu ya kutwa nzima!

Naomba kutoka kwenu wakuu kwa wale wabobevu na wazoefu wa njia ya Dar-Iringa-Mbeya, wanijuze ni mabasi gani mazuri na ya uhakika pia luxury yanayotoka Dar alfajiri mapema yaendayo/ yaishiayo RUAHA. Gharama yake pia kama itapatikana itakuwa msaada mkubwa sana kwangu.

Msaada wenu wakuu.

Update!

Wakuu naomba kuwashukuru wote kwa muongozo na taarifa za kina juu ya njia ya Iringa-Mbeya. Nimefanikiwa kwenda kwa busi la Luwenzo/ Sweet Africa na kurejea Dsm kwa Alsaedy.

Nauli: 22,000.00
 
Ruaha ndio pale penye Kiwanda cha Sukari? Kilombero? Kama Yes panda Kidinilo nauli 12,000 Tshs.

Dar to Iringa panda ABC au Deluxe nauli 26,000 Tshs.

Dar to Mbeya magari yote mazuri safari mdefu sana hiyo. Ila daka Rungwe au Sauli ila usioande NF.
 
Mkuu shukrani sana nitacheck na hizi ABC na Deluxe, ni ruaha kwa upande wa Iringa.
 
Babaaaa.
Kamata Sauli Mnyama mkali ya Tege boooooy chapu ipo Uyole pale.
DPK ana siku zake mzee wa ndugu abiria Waubani Waubani Linyama,akivurugwa anamwagika si kizembe,
Au kama vipi kula school buses za Imani,siku akiwa mwenyewe taita akivurugwa nyongo anamwagika shetani hataki mzee.
Kichovuchovu kamata AES ya abood,mzaha!!
,Uyole saa tano usiku fresh una drop pale

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Waubani nimemuona kala shavu tangazo la tigo
 
Waubani nimemuona kala shavu tangazo la tigo
Ndugu abiria imembeba,mwamba akichafukwa anakuwa ni ananinukia kweli kama ubani wenyewe.
Zimeshuka mpya bandarini,ukoo wa fisi,zhongtong climber new model,zinawaka taa huko nyuma marehemu dar lux anasubiri

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Raha ya basi upande huku unasikia kabisa ule muungurumo wa injini gari inapochapa mwendo..na hapo huo muungurumo unapatikana kwenye scania..panda sauli au Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom