Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Ulichokiandika hakieleweki. Mfano "keawa ufguipi" ulimaanisha nn?
 
Kwani yeye amejieleza amesoma au wapi ameajiriwa anapata mshahara wakati hakusoma huyo amesimama mwenyewe hata ungefaham cv yake haikusaidiii kwa kua amejiajiri
 
Mtu ukienda shule kidogo angalau unakuwa na kitu tofauti kabisa yaani, huwezi tukana mbele za watu hovyohovyo hivyo.
Halaf wale waumin wake looohh.... ndio wanakuwa wamelishwa nini vile .......?
Tupe mfano wa yy kutukana
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........

Gwajima aliishia la 7, alipofeli akaenda Nigeria kuchukua kozi ya uchawi juu ya kanisa na kozi ya biashara ya uuzaji unga/madawa ya kulevya kwa kupitia kanisa. Alipopata cheti chake ambacho yeye anaita degree akaja Bongo na kuanzisha kanisa la ufufuo na kuapata misukule kibao. Hamna jipya hapa juu yake.
 
Ni nani aliyekuloga????nimekudharau wewe..hufai wewe..sikuheshimu tena wewe..pampac wewe..ukiletewa CV yake utampa kazi???

Ww ni miongoni mwa watanzania wanne kati yao kuna chizi....na chizi huyo ndo ww...sasa hapa umeandika nn,si bora ungeenda kwa huyo Gwajima akuunganishe na misukule yake?.Huyu jamaa sijui umekula maharage ya wapi wewe?
 
Ndugu yangu, wanaosoma na waliosoma zaidi ni WAKATOLIKI TU wengine hawa wanakuja baadaye sana.
Huwezi kumkuta Padre mkatoliki mbumbumbu hata siku moja.
Hao wengine kwao Elimu ni "minor case "
Kwa hiyo usiumize kichwa kuuliza elimu ya huyo bwana.
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Umetumwa au.
 
Tumekubaliana kwamba ili umnyooshee kidole mwenzio inabidi uwe msafi kwanza!Ndio saga linaloendelea!Kwasababu Gwajima amekuwa kinara wa kumtaka Makonda aweke vyeti hadharani, ni vema na yeye akatuwekea vyake tuone namna alivosoma toka msingi mpaka kiwango chake cha PhD!Hili haliondoi madai yanayoendelea!
Gwajima weka vyeti vyako vya kitaaluma hadharani tuone kama hukufoji
 
Uliisikiliza na kuielewa hotuba ya Mh. Rais siku alipotangaza ukaguzi wa vyeti feki lakini?

Anyway, PhD ya Gwajima haikuwa siri; alitunukiwa hadharani tena mchana kweupe huku dunia ikishuhudia. Mahafali yenyewe haya hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/askofu-gwajima-atunukiwa-phd-doctor-of-philosophy.815507/

Kwako mleta mada; kwa kuwa ni vigumu kupata picha au video za enzi hizo ukizingatia mazingira n.k. basi na wewe hebu tuwekee japo maelezo ya kuridhisha kwamba Mh. ali-graduate F.IV yake lini, shule gani, kwa jina gani, Index No. ilikuwa ipi, n.k. Ya Gwajima tumeiona, lete ya mhusika.
 
Yah, tunamtaka Gwajima adhihirishe kwa wazi. Tunataka kujua elimu yake kwa kutuwekea vyeti vyake na majina yake sahihi, wenye data tafadhari. Dawa ya moto iwe moto
 
Tumekubaliana kwamba ili umnyooshee kidole mwenzio inabidi uwe msafi kwanza!Ndio saga linaloendelea!Kwasababu Gwajima amekuwa kinara wa kumtaka Makonda aweke vyeti hadharani, ni vema na yeye akatuwekea vyake tuone namna alivosoma toka msingi mpaka kiwango chake cha PhD!Hili haliondoi madai yanayoendelea!
Gwajima weka vyeti vyako vya kitaaluma hadharani tuone kama hukufoji
mkuu, habari ya mujini kwa sasa ni [HASHTAG]#bashiteonyeshavyetikuanziapraimari[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom