Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,339
Hivi ile porn tunayoiona ni kazi yake ya kwanza, au kuna nyingine alishacheza?
Let's meet at the top, cheers![]()
Uzoefu unaonesha ile ni premature!
Hivi ile porn tunayoiona ni kazi yake ya kwanza, au kuna nyingine alishacheza?
Let's meet at the top, cheers![]()
ngoja apate ubunge, akawagonge vizuri wakina zuchu na wema sepenga
Uzoefu unaonesha ile ni premature!
Kwenye wasifu wake asisahau kuweka umahiri wake wa kucheza filamu za XXXX....pornhubTunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015.
Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu.
Elimu ya Gwajima imenyooka tofauti na wachaga wanaounga unga!Tunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015.
Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu.
Yes...Chidi boyHivi kuna mtu kabisa bado anamtamani Wema!
Haka ka CV hakana elimu ya msingi wala sekondari, kazi wala uzoefu kazini, hakuna publications yaani ni utopolo tupu.Huyu ni msomi sana
2000-20003 PhD in Theological Studies, University of Chicago
1999-2000 Postgraduate diploma in Western Religious History, Stockholm School of Theologies
1996-1998 Masters degree in Ancient Religions, Tel Aviv university
1992-1995 Bachelors degree in Theology and History of Judaism in relation to modern religions, London School of theology
Uzoefu kazini wapi? Ulimuajiri?Haka ka CV hakana elimu ya msingi wala sekondari, kazi wala uzoefu kazini, hakuna publications yaani ni utopolo tupu.
Shule ya msingi wapi na mwaka gani?Huyu ni msomi sana
2000-2003 PhD in Theological Studies, University of Chicago
1999-2000 Postgraduate diploma in Western Religious History, Stockholm School of Theologies
1996-1998 Masters degree in Ancient Religions, Tel Aviv university
1992-1995 Bachelors degree in Theology and History of Judaism in relation to modern religions, London School of theology
Unataka kumpa ajira? OvyoooooShule ya msingi wapi na mwaka gani?
Sekondari wapi na mwaka gani?
CV za kisanii hizi...Huyu ni msomi sana
2000-2003 PhD in Theological Studies, University of Chicago
1999-2000 Postgraduate diploma in Western Religious History, Stockholm School of Theologies
1996-1998 Masters degree in Ancient Religions, Tel Aviv university
1992-1995 Bachelors degree in Theology and History of Judaism in relation to modern religions, London School of theology
Sasa alisomea utopolo..Uzoefu kazini wapi? Ulimuajiri?
Kwani Kuna ubaya kujua bro chidi msingi na seko kapiga wapi..Unataka kumpa ajira? Ovyooooo
Mbunge wa Kawe mtarajiwa. Tanzania ya kijani inakuja.Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Unataka umpe kazi gani, maana kazi ya uinjilisiti amesanda na kazi ya ubunge amepigwa chini tayari!!Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Kama ni hivyo Gwajima aache kufanya kazi za watu aendelee na kanisa lake, hakuna atakayetaka cv yakemkuu umekosa kazi.
Cv ya Gwajima ukiipata itakusaidia nini? unajifanya nfurukutwa wa Katoliki hata kanisani huendi, hata kitu alichoongelea Gwajima hukijui.
Fanya kazi za zako ili uongeze kipato siyo kufuatilia cv za watu
anza kuleta cv yako ya kuunga unga