AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,886
- 5,624
Bado kwanza! Hatujamalizana na Bashite. Gwajima atajuwana na misukule yake (waumini wake).tunamtaka huyu Bashite anaetanua kwa kkdi zetu.Yah, tunamtaka Gwajima adhihirishe kwa wazi. Tunataka kujua elimu yake kwa kutuwekea vyeti vyake na majina yake sahihi, wenye data tafadhari. Dawa ya moto iwe moto
[/QUOTE]