Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 684
He is clever, with big talent of putting people of different thoughts and ideas together and preaching them to follow the word of God.
Chichichichiiiii diii boy( in Chidi benzi's voice)Kwa kuongezea tu japo haiusiani na Mada, siku hizi anajulikana kama chidi boy(Rashidi)
Mimi nilifikiri hivyo pia AMA uenda ni hivyo! Lakini nilimsikiza clip wakati anajiita Rashid nikagundua kuwa katika maongezi yake kuna flow of Logic katika maelezo aliyotoa, mwanzoni nilifkiri ni yupo yupo tu.Huyu ni kama mimi tu elimu ya kuungaunga....form four mwaka 1990 na Div 4 ya nguvu then PHD miaka 3 baadaye.
Kwani CV ndo itaongoza kawe? Nileteeni gwaaajimaaaaaaaaTunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015.
Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu.
Mkuu yeye ana deal na kufufua misukule tu!! Watu bado!!Kufufua watu kuna CV?