Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Watu wengine hata huyo Allah wenu hamumwogopi???Mnapiga uongo kwa kwenda mbele,Kabla mkamzushia Amekufa na tena sasa mnamtungia CV ya uongo ndiyo maana huyo Allah wako haaminiki maana watu wakikuona wewe uko Machepele sasa wewe utaniambia nimwamini unayemwamini wewe??Acheni Uongo wenu

mie siko hapa kuhubiri kama ndo iunajidanganya.

ha ha ha,tena inawezekana unadhani napotofautiana na wewe ndo nataka kukuhubiria eeh?.

muonye huyo ngwajima,mtu ana tabia chafu kama hakuzaliwa ila alijambwa bana,dah......!!
 
Mbona ninyi na hao mashehe wenu ni wapu.mbavu tu, mnayemwita shetani kwamba ni mungu?

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...m5YovdUk8nhfGpIlg&sig2=QNjuArEyzbHTN2oV9rf_MQ

Mbona ninyi mko kama baba yenu alivyo? Iko namna ya kushughulika na ninyi kama tulivyoambiwa na Bwana wetu Yesu Kristo hata kabla hamjaanza kuwepo. Hatu deal na ninyi kama Kadinali Pengo aliyekuwa amepotoka.

Pengine hamjitambui kwlei ndiyo maaan mnajilinganisha na Kadinali. Maskini poleni!.

haha ha,tena mwambieni huyo ngwajima aishie huko huko kutukana makadinali na maaskofu,siku anatukani shehe ama ustaadhi ndo siku atajua kwanini boxer hainaga milango.
 
Apologise lady

Sio kufatilia huyu amekuwa akizungumziwa sana amekuwa kama icon kwenye media swala la kujua Cv hilo kawaida ...tukimjua tutaunganisha dot nakupa njia nzuri ya kumdefine

Ni rahisi sana kujua cv yake wewe jiunge na kanisa lake ujifanye umeokoka ukikaa naye kwenye wokovu kwa miaka say 25 hivi utaanza kumfahamu kiundani.
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani. Eti hivi ndivyo mahojiano yalivyoenda:

MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU WOTE.

MPELELEZI: Je Wakati Unapohubiri Huwa Unatumia Biblia Au Kuna Kitabu Kingine? GWAJIMA: Biblia.

MPELELEZI: Soma YAKOBO 4:11. GWAJIMA: Ndugu,msisingiziane,amsingiziaye Ndugu Yake Au KUMHUKUMU Ndugu Yake,huisingizia SHERIA Na Kuihukumu SHERIA. Lakini Ukiihukumu Sheria Huwi Mtenda Sheria Bali Umekuwa HAKIMU.

MPELELEZI: Endelea Mstari Wa 12.

GWAJIMA: Mtoa Sheria Na Mwenye Kuhukumu Ni Mmoja Tu, Ndiye Awezaye Kuokoa Na Kuangamiza, U NANI WEWE UMHUKUNUYE MTU MWINGINE?

MPELELEZI: Umeelewa Maana Ya Maneno Ya Vitabu Ulivyovisoma?Ambavyo Unatakiwa Kuvifuata Na Kuvifundisha?

GWAJIMA: Jamani sioni nguvu zinaniisha jaman,

MPELELEZI: NAKUPA DAKIKA MOJA UKEMEE HALAFU TUENDELEE NA MASHWALI HADI TUIMALIZE BIBLIA, GAFLA Gwajima "CHALI" .... Itaendelea Akizinduka.
 
Last edited by a moderator:
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........

Ni nani aliyekuloga????nimekudharau wewe..hufai wewe..sikuheshimu tena wewe..pampac wewe..ukiletewa CV yake utampa kazi???
 
Mkuu sasa hoja yako hiyo haina nguvu sn cv ww ya nn..?
 
Watu wengine hata huyo Allah wenu hamumwogopi???Mnapiga uongo kwa kwenda mbele,Kabla mkamzushia Amekufa na tena sasa mnamtungia CV ya uongo ndiyo maana huyo Allah wako haaminiki maana watu wakikuona wewe uko Machepele sasa wewe utaniambia nimwamini unayemwamini wewe??Acheni Uongo wenu

Mkuu umepanic mkuu
 
Raia mwema ya leo wametoa kidogo.Lakn amezaliwa Mwanza na elimu ya kidato cha 4 aliyopata Buswelu sec.Inasemekana amesoma chuo cha bıblia huko Nairobı.Anafufua wafu japo hakujapatikana ushahdi kwa aliyekufa akiwa na death certificate akafufuka.Inasemekana nı fan mwaminıfu wa Lowasa.Ana shamba kubwa la ng'ombe huko Mwanza.
Oh no. Kumbe kaishia kidato cha nne? Tena Buswelu sec. Pole sana Gwajima. Sasa nimeelewa kwa nini uliongea na kutukana kama ulivyorekodiwa.
 
haha ha,tena mwambieni huyo ngwajima aishie huko huko kutukana makadinali na maaskofu,siku anatukani shehe ama ustaadhi ndo siku atajua kwanini boxer hainaga milango.

We wawapi?
Alimpa makavu aliejiita mnajimu mkuu afrika mashariki na kati marehem shehe Yahya Husein.
Alimwambia usipookoka utakufa....
 
haha ha,tena mwambieni huyo ngwajima aishie huko huko kutukana makadinali na maaskofu,siku anatukani shehe ama ustaadhi ndo siku atajua kwanini boxer hainaga milango.

Eeeeeeh hawezi kutukana mashetani hayo yanakemewa na kurudi kuzimu!
 
Unatafuta CV ya Tapeli amewaloga mpaka waumini wake hata akiwatukana wao ni ameeeeeeee Leo mtalala kwangu ameeeee. Hata nashindwa kuelewa ninani kawaloga waumini wa Gwajima?
 
hoja yako ni ya msingi regardless ana mafanikio gani, kumbuka yeye ni mtumishi wa mungu na lugha aliyotumia ukali ulipitiliza ikizingatia anayemshambulia ni mtumishi mwenzake...tunataka CV YAKE EWE MWANAKONDOO WAKE...hatusemi uache kumuamini kwani binadamu wote wana mapungufu na si malaika, isipokua tupo kwny kutafuta source ya lugha ile as long as biblia yote imejaa busara na hekima.
 
yaan!
ile sharia ni kher ipite kabsa. Il wat waache kuongea uongo na kutukana humu ndn.! yaan watu wanatukana mpaka anasema ana dictionary ya matus..
sasa hata huyu mtoa post amesoma chuo kimoja na mwenye kumiliki dictionar ya matus na uongo. yaan mtu badala ya kumilik Bible au msaafu ati amilik dic ya matus.

ok. ngoja nikwmbie jambo moja.! mimi nadhan humu jf ambao watakuwa wanaCV ya Dk. Gwjima ni wachche sana! ndio maana unakuta weng hum wanatapatapa na kutunga uongo coz hawana kaz ya kufanya..bal kushinda mitandaon wakitafuta udaku.

hiv ewe nahs kwa Dk. Gwajim mkisimma hapo kwa CV..ewe utakuwa ni mfanyakaz wke wa kuitengenez bustan tu!

kiufupi ewe tafuta kwenye google utapata CV zke dhen ndo utajua ewe na yeye nani aliye mkuu!
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........

Wasanii km huyu wanakuwaga na CV?
Huyu ni tapeli tu anaejua Kutoa maneno ya Mipasho!
NI km wale waimba Taarabu. Sema wafuasi wake ndio Kondoo wa kikweli. Watakachoambiwa wao ni "tawile baba muokozi" hawaulizi lolote.

Na mimi nafungua kanisa soon.
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Tupe CV ya Mtume Muhamedi tuione, maana tabia zake na za wafuasi wake ni kama .........ISIS
 
Tupe CV ya Mtume Muhamedi tuione, maana tabia zake na za wafuasi wake ni kama .........ISIS

Hahahaaa ishmael. Gwajima hapa! Cv hapa. Mtume wa nini na wewe unamuandika kila siku!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom