MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

MSAADA: Nasikia hisia za kuua na kudhuru wengine

Serious kama utaweza nipe miadi ya kukutana nawe sehemu ambayo tutakuwa wenyewe ili nikuue au uniue.

Mkuu kama wewe ni Viatu vya Samaki, nahisi basi hata Akili pia zinaeza kuwa na chembe za Samaki kama sio za Smaki kabisa.
Unawazaje hvo hehehe
 
Serious kama utaweza nipe miadi ya kukutana nawe sehemu ambayo tutakuwa wenyewe ili nikuue au uniue.

Kama uko tayari ni-PM.
Sasa wewe na yeye mnatofauti gani??? Kichaa akikivizia bafuni akakuibia nguo na wewe ukafuluzana naye unadhani ataonekana kichaa..???
 
Mkuu, sina fedha mabilioni, lakini fedha za kuendesha maisha ya kila siku ninazo. Sina familia, Nina umri wa miaka 27, male hata naogopa kuingia ktk familia hadi nitatue hili
undefinedkuna jina kitaalamu la tatizo lako
 
Back
Top Bottom