Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

Ukielewa tabia ya nyoka utaweza kuepukana naye, nyoka hutembelea maeneo mbalimbali kwa ajili ya kutafuta maji ya kunywa, hivyo, weka chombo chenye maji nje ya nyumba yako, watakuja wengi kunywa maji na kuondoka. Ukitaka kuwakamata unaweza pia
 
Na wao ni wakorofi sasa. Kwanini wasiende Dawasco wakalipie bomba lao ili wasisumbue binadamu?!
 
Na wao ni wakorofi sasa. Kwanini wasiende Dawasco wakalipie bomba lao ili wasisumbue binadamu?!
wape tu maji ili wasikusumbue 🤓
🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓
 
Duh pole sana aiseeee! Tuache mademu was kuokota hovyo hovyo
Siyo wakuokota ovyoovyo, wengine automatically demu unaemrushia ndowani kutaniutani unakuta na yeye anaja mazima Kama vile pia yeye alikua ana kuwinda!!
 
Ukielewa tabia ya nyoka utaweza kuepukana naye, nyoka hutembelea maeneo mbalimbali kwa ajili ya kutafuta maji ya kunywa, hivyo, weka chombo chenye maji nje ya nyumba yako, watakuja wengi kunywa maji na kuondoka. Ukitaka kuwakamata unaweza pia
Ndani kwangu sina hizo mambo. Geto la mtafutaji
 
Dah....hongera mkuu.....kitendo Cha kuwepo nyoka ndani ya chumba chako Ni dalili kuu ya kuonyesha kwamba unaishi kwenye mazingira mazuri na rafiki. Hutaona panya wala mijusi ndani ya nyumba yako. Cha msingi unatakiwa kujua nyoka hung'ata pale anapotishiwa maisha yake kama haogopeshwi na chochote Basi huwa poa sana....
Ushauri: Usiwauwe waache waishi wawe wakubwa uweze kuwaona vizuri ili usije kuwakanyaga.
Kama utamuua mmoja iwe kwa ajili ya kitoweo na si vinginevyo.....
Ahsante 🤭
 
Eneo ambalo nipo tayari, tena kwa mikono miwili, na bila ya kubisha kuitwa "mwanaume wa Dar", ni suala la nyoka kwa kweli...

Siwapendi hawa viumbe... na huwezi amini, jana tu nime-Google "anti-snake plants"! Sio kwamba ninapoishi kuna nyoka, au dalili za nyoka, but I love green... tena sana!!

Sasa kuna eneo nilikuwa nafikiria kabla ya kufanya chochote, nianze kwanza kutengeneza orchard!! Lakini kila nikifikiria suala la nyoka, stimu za orchard zinakata, manake nahisi ndo kama nakaribisha hao wana!!

Mimi nadhani nina damu ya Kinabii!!! Nyoka ni mshenzi manake aliweza hadi kuwashawishi wale jamaa hadi wakagegedana!!! Amini amini nawaambia, yeyote mwenye damu ya kitume au ya kinabii, lazima atamchukia nyoka!!

Na mshenzi huyu akiingia kwenye nyumba nyumba/chumba cha mtu mwenye damu ya kitume/kinabiii, basi huyu mwenye damu hii takatifu aweza kumwachia nyumba na kuondoka zake kwa maana imeandikwa, ni heri ya kuondoka na kumwachia nyumba nzima ili afurahi kuliko kuwa jirani au kujaribu kujibishana huyu fedhuli aliyemshawishi Bibi Fulani kutoa tunda!!
 
Nyoka hawapendi harufu ya mafuta ya taa
Mwaga mafuta kwenye. Maeneo unayodhania wanatoka
 
Bro hao nyoka hawana madhara kbs wala hawaumi. NI BROWN HOUSE SNAKE.

Wanakusaidia kupunguza pest kama panya au wadudu wengine.

Hawana sumu kabisa bali ni constrictors (wanambana panya pumzi)kisha kummeza.

Uwe na amani kabisa.

Hata kma hawang'ati ndio waingie ndani..
Nyoka ni nyoka tu
Atagongwa kichwa imeandikwa
 
Mchanganyiko huo unaendana na wale wa wadudu wa kwenye mbao,nao niliambiwa ukipaka mbao ivyo mchwa hali tena mbao
 
Ukielewa tabia ya nyoka utaweza kuepukana naye, nyoka hutembelea maeneo mbalimbali kwa ajili ya kutafuta maji ya kunywa, hivyo, weka chombo chenye maji nje ya nyumba yako, watakuja wengi kunywa maji na kuondoka. Ukitaka kuwakamata unaweza pia
Elimu haina mwisho....kuna cha kujifunza hapa
 
Nyoka weusi hawana tabia ya kupanda juu . Itakuwa anapita Kwenye upenyo chini ya mlango , hata kama umeweka dekio la Taulo jaribu kuziba vizuri kusiwepo na upenyo wowote.

Wakati mungine kuna kimpira maalumu kinafungwa chini la mlango kuzuia wadudu
 
Maji ya upako ni kiboko ya mwamposa hutajutia fungulia chanel iitwayo arise and shine kila saa3 u fatisha maelekezo utaona maajabu
 
Kuna mti flani upo eswatini,kuna manyoka mengi kila kona kule ndiyo wanaoteshaga nyoka wanatimua nikipata jina lake ntaweka.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…