Msaada namna ya kuacha kazi ili upate stahiki zako zote

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda.

Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
 
Arudi Kazini Kisha aumwe tena Bosi atampumzisha mwenyewe kwa sababu ya udhaifu na upungufu wa uwezo wa kufanya kazi. Kisha atalipwa stahiki zake.

Nb. Doctor athibitishe.
 
Arudi Kazini Kisha aumwe tena Bosi atampumzisha mwenyewe kwa sababu ya udhaifu na upungufu wa uwezo wa kufanya kazi. Kisha atalipwa stahiki zake.

Nb. Doctor athibitishe.
Asante sana kiongozi...so Dr anatakiwa athibitishe kwa utaratibu gani?
 
Back
Top Bottom