Mahusiano yako naNimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,
Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,
Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.
Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
Kugundua na kukubali tatizo ni hatua ya kwanza ya kutatua
JIUE!!Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,