Msaada: Najitoaje katika kifungo cha hasira, vurugu, ukorofi?

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
466
Reaction score
1,356
Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,

Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,

Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.

Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
 
Kumbe wajaluo ndio mko hivi? 😂 😂

Mkuu achana na hiyo tabia nausisingizie kabila, wajaluo wengi huwa ni aggressive hasa wale waishio kwenye jamii za wakurya. Kwao kukata panga mtu ni kugusa tu. Na matukio ya mjaruo ni pro max

Aisee hii aione win-one
 
Nimezaliwa na kukulia hapo.
 
Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu, nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao, jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.
Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
Kubali

Find out triggers

Anza ku deal na triggers, train brain yako kuto ku react hovyo

Si rahis itachukua muda but with dedication utabadili hiyo hali
 
Kujigundua tu uko na hiyo shida umeanza kupona. Muombe Mungu na jiwekee utaratibu wa namna utazimiliki hisia zako hasa za hasira .

Kwa kuanza anza na kupunguza uongeaji. anza kujizuia kuongea kaa tu kimya hata kama unajua cha kusema na hata ikikubidi kuongea ongea kwa ufupi sana. Anza na hilo zoezi .

Halafu ufanye mazoezi ya pumzi unavuta pumzi ndefuuuuuu afu unaishusha taratibu na ile unabugia hewa kwa mara moja unaihold kama sekunde kadhaaa halafu unaiachia taratibu. Fanya hayo mazoezi mara kwa mara.

Kingine anza kwa kuwa unamemorise mistari ya biblia kichwani ama unaandika mstari mmoja wa bibilia page mfano kumi. yani mfano neno" NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU" Unaandika maneno hayo tu kwenye karatassi hata kumi au vile utakavyojisikia ndani. kesho tena unaandika mstari mwingine mfano,"BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU SITAPUNGUKIWA NA KITU" with time utaona vile nafsi yako ya ndani inavyogeuzwa kwa ukiri wa maneno ya Mungu.

Kila la Kheri
 
Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,

Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,

Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.

Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
Pole na changamoto Chief.
Your ego, your enemy. Kill your ego.
Stage ya kwanza kuua ego ni self confidence. Na huwezi kujiamini kama hujifahamu. Anza na kujifahamu wewe kwanza, unajua nini na unaweza kufanya nini na unapungukiwa na nini(ukijifahamu wewe hutasumbuliwa na mitazamo ya nje ua watu, uta wa ignore tu).
Sasa ego ni ku force kutaka watu wajue unaweza nini badala ya vitendo ndo vizungumze bila kujitangaza. Ila kwako inaonesha huna tabia ya kujionesha kwa maneno basi ego inanyanyuka kwa mtindo wa hasira unalazimisha ueleweke vile unavyojiona wewe na si vile wanavyokuona wao.
 
Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,

Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,

Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.

Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
Una majukumu? Kuna familia inakutegemea?
 
Umejaribu kuwapenda kushirikiana nao watu wabaya.hujamtambua tu mtu mbaya mpaka kuwaita wengine wabaya????una tatiso kubwa
 
Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu,

Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa elimu) mpaka mkuu wa shule jambo lililopekelea kutolewa kwenye fursa zozote ili jambo halinipi shida kwasababu tayari nilishajipanga kwenye harakati zangu mifugo na kustake mazao,

Jambo linalosababisha ni kuwa reactive na tabia hasi juu yangu, mfano dharau mtu akinifanyia dharau tunagombana nashindwa kuvumilia na kukubali unyonge.
Nb nikiwa nje ya mazingira ya kazi najiona kama mtu safi kwasababu nashorikiana na watu katika mambo mbalimbali sometimes challenge zinakuwa hazipo japo nikiona mtu akiwa na tabia nisizozitaka huwa naweka distance.

Sasa hii tabia nimekuwa siipendi nataka niwe mwema ata nikiwa kazini, nimejaribu kuwapenda na kushirikiana nao watu wabaya nashindwa, nimejaribu kuwapuuza lakini nashindwa
Nifanyaje hapo?
una familia?
yaani mke na watoto?

au upo single gentleman?🐒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom