Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,185
- 144,020
mnadhani ntaachika ka wewe,subutu!
Una VVU wewe.
mnadhani ntaachika ka wewe,subutu!
Kam zi way The secretary nikupe mahabaaaaa...!!lol
Una VVU wewe.
We bado bikra?
mnadhani ntaachika ka wewe,subutu!
Kwi kwi kwi kaniambukiza ex wako!
Ndo maana ni ex wangu.
Kwani aliukwaa wapi?
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
unaongea kweli? asije akatulizwa na kupendezeshwa ukaanza kumtamani na kuanzisha kasheshe. utaweza vumilia na wivu wako kweli?. mia
umefurahi eh?The secretary nilijua tu kuwa haya yatatokea.
Wivu kwa Bishanga sina hata roho haiumi
msamehe mwenzio!!. Bishanga bado anakupenda tena sana. miaWivu kwa Bishanga sina hata roho haiumi
Muonee huruma basi umchukue
Tatizo ameshakuwa used....hafai tena.. wewe vumilia tu