Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
na we acha kushadadia ugomvi wangu na mai waif wangu,tukipatanaje?Si bure kuna zaidi ya tunayoyajua hapa.....
usione aibu sema tu upate peace of mind!!!!!
na we acha kushadadia ugomvi wangu na mai waif wangu,tukipatanaje?Si bure kuna zaidi ya tunayoyajua hapa.....
usione aibu sema tu upate peace of mind!!!!!
bua la jana sisimizi kaona mavuno,endelea tu kuchezea shilingi chooni.
huyo kachoka kushi mjini,hamjui bishanga,mi mafia banaJohn Elias anamtaka.
we una ajenda yako ya siri,ole wako,halafu mwambie Nyani Ngabu i am watching him,jana kamPM The secretary.Unaangaikaje na hako ka The secretary' wewe mzee. Potezea hako bwana' kuna warembo wazuri tu
Kakunadi kama kitishirt cha mtumba sijui kama atakurudia, akirudi labda anarudia huo mkopo.....!!!!na we acha kushadadia ugomvi wangu na mai waif wangu,tukipatanaje?
we una ajenda yako ya siri,ole wako,halafu mwambie Nyani Ngabu i am watching him,jana kamPM The secretary.
Mambo honey !Tema tema mate Mungu apitishe mbali!
Kakunadi kama kitishirt cha mtumba sijui kama atakurudia, akirudi labda anarudia huo mkopo.....!!!!
Ama kweli adui muombee njaa! au siyo Nyani Ngabu?
Usintishie nyau mie!!!!!!we eva wewe! haya dawa yako inachemshwa.
Usintishie nyau mie!!!!!!
Sio njaa tu bali laana na balaa.