NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,271
- 14,512
Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao,
Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia Kuwa inawezekana Sina sparms za kutosha inapaswa nitumie protein kwa wingi haswa karanga Nazi n.k,
Nimefanya hivyo bado tatizo lipo pale naweza fanya mapenzi ndani ya lisaa lizima bila ya kufika kilele, mwenzangu anafika mpaka anachoka na mpaka inakua kero siyo mapenzi tena inakua ni vurugu na ubakaji
Hilo ndiyo tatizo langu wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mtu mwenye ushauri unaofaa nitaufanyia Kazi wakuu
Angalizo: sitaki Mambo ya Simba na Yanga kwenya Huu Uzi