Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Wazinzi ndio wanaweza kukujibu vizuri kuhusu shetani kwani wakifumwa huwa wanadai shetani 'kawapitia'!

Sio kweli ,shetani aka ibilisi hasumbuwani na wale walopotea yaani ambao teyari wanafanya dhambi ,hao hana mda nao ,yeye anataka wale ambao wachamungu ndo anakula nao sahani moja...umeelewa ?
 

Sitaki kuamini, nataka kujua.

Maswali yangu hujajibu.
 
!
!
kwa hiyo kaka kuna Mungu au miungu kibao tu, au? Je hii ina maana pia kuna Shetani wengi pia?

Hakuna ushahidi kwamba kuna mungu yeyote nje ya mawazo ya watu.

Na hivyo hakuna shetani.

Mungu na shetani nikimaanisha kama anavyoainishwa katika vitabu kama Quran na Biblia, kuna watu wanaamini mti au jua ni mungu, in which case huwezi kusema mti haupo au jua halipo, ila unaweza kubisha finer points. All the more reason we should establish what is god and what are god's characteristics beforehand.
 
!
!
hapa ndipo sehemu na mimi nilikuja kujiuliza mno na kutaka kumjua shetani pia......may be shetani pia ana nguvu mno na "hawezekaniki"?sijui lakini ngoja niendelee kujifunza

Shetani, so far, per evidence based verification, ni story tu, hayupo kiuhalisi.

The same goes for god.
 
!
!
kaka mbona unamuuliza mwenzio maswali ya kukomoa namna hiyo, duh

Si maswali ya kukomoa.

Ni.maswali deep, yanaenda kwa kina zaidi kuliko vidimbwi vya maji vya vitabu vya dini.

Ukiuliza sana haya maswali hujibiwi, sanasana utaambiwa unakufuru.

Au "god works in mysterious ways".

Which means that this is a "deus ex machina" na wanaosema kuna mungu hata hawamuelewi huyo mungu vizuri kumuelezea.
 
!
!
mkuu unatisha mbaya......



 
Kwenye maelezo yako umesema huyu Mungu ila shetani umemwita bwana. Hii inamaana wewe ni wa dini ya shetani unakuja humu JF kuangalia kama kuna wenzio wangapi!
 
Hakuna anayeweza kuthibitisha kuwepo kwa shetani wala mungu.

Mkuu unamaanisha huamini yalimo either ndani ya Biblia Takatifu ama Qur'an Tukufu ambazo zote zimeeleza mafundisho ya Imani za Kiroho zikimuhusisha Mungu kwenye Mema na Shetani kwenye Ubaya. Imani ni Fumbo ambalo hakuna binadamu anaeweza kulifumbua kama ilivyo maisha baada ya kifo ilivyo siri kibinaadam.
 

!
!
dah wewe ni noma
 

Deleted.Duplicate.
 

Sitaki kuamini, nataka kujua.

As long as Quran na Biblia zinajiwekea wigo katika kuamini na haziendi kwenye uchunguzi wa kutaka kujua, naviona vitabu hivi havina tofauti na vile vya hadithi za watoto.
 

Ni mshauri wa rais yupo ikulu
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

As long as Quran na Biblia zinajiwekea wigo katika kuamini na haziendi kwenye uchunguzi wa kutaka kujua, naviona vitabu hivi havina tofauti na vile vya hadithi za watoto.

Hakuna binadamu anaejua au anaeweza kuprove kuwa Mungu yupo ni "above our scope"!! kama tumeshindwa kutibu cancer au kufufua mfu hakika kamwe Hatutaweza kutengeneza "dimensions/Magnitude" ya uwepo wa Mungu zaidi tu ya kuamini au kutoamini uwepo wake maana ni Fumbo kuu kama siku ya kurudi Kristo.
 

Nenda pale Club Ambience Afrika kuanzia saa 2 utamkuta akiuza au kununua. Anakuwa amevaa nguo zilizoacha mapaja wazi ama pengine akiwa kwenye gari anaenda kununua.
 


Hivi wewe ulishawahi kujiuliza ni kwa vipi kuna matendo mema na maovu. Kwa nini ukifanya jambo jema hauoni aibu watu wakikushangilia, na ukitenda maovu watu wanakushangaa na kukuzomea?
 

Sasa kama hakuna binadamu anayeweza ku prove kwamba mungu yupo, utajuaje kwamba yupo?

Utajuaje kwamba ni "above our scope" na si hadithi tu ambayo haina uhalisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…