Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Hayo ndiyo maandiko ya vitabu vya Dini tumevikuta na tunaamini katika hilo ni jukumu lako sasa kukubali au kuacha.......kuhusu swala la dhambi nani kakueleza ya kuwa Shetani ndiye wa kulaumiwa........?come on mkuu........usinibebeshe yaliyopo kichwani mwako.....hayo ni wewe umeyapokea ulipaswa umuulize aliyekueleza hayo.....

Vitabu vya dini vimeandikwa na watu na hivyo haviko juu ya uchunguzi, kwa maana haviko juu ya uwezekano wa kuwa na makosa.

Kuhusu dhambi, umeanza kwa kusema shetani ni mpango wa mungu. Na kwa kweli dhambi nayo ni mpango wa mungu, kwa maana mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekaniki kufanyika. Hakufanya hivyo.

Lakini umetuambia kwamba amepiga deal na shetani kumpa shetani nguvu zake zote alizonazo.

Nguvu ambazo wanadamu hakuwaumba nazo.

Sasa basi, kwa sababu.

1. Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hakuwezekana kuwemo, lakini hakuumba ulimwengu huo.

2. Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haingewezekanika kuwepo, lakini hakuumba ulimwengu huo.

3. Mungu alikuwa na uwezo wa kumuumba binadamu ambaye hawezi kuguswa na dhambi, lakini hakuumba ulimwengu huo.

Kwa kuangalia haya matatu ya juu.

Kwa nini mwanadamu akifanya dhambi, dhambi ambayo imeumbwa, kuruhusiwa na kuchochewa na mungu kwa kupitia ruhusa na nguvu alizopewa shetani na uwezo mdogo aliopewa binadamu, kwa nini binadamu akifanya dhambi ahukumiwe kuchomwa moto?

Wakati dhambi ni mpango wa mungu na mungu angetaka isingekuwepo kabisa?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu kama huu.

Something is wrong with this picture.

If you look closely, the whole god/ satan dichotomy does not hold water.
 
Wewe mtu umeshindwa hata kunitajia mungu wako ni mungu gani kwa woga wa huyo mungu wako kubomolewa!

Taja jina la mungu wako na tabia zake hapa tumbomoe.

Otherwise umeshindwa mjadala.

Huwezi kuniambia nitoe ushahidi wa kutowapo kwa mungu kabla ya kuthibitisha kwamba.mungu.yupo kwa ushahidi.

Kwa sababu ishahidi ni tabia ya vitu vilivyopo, si tabia ya vitu visivyopo.

Leo hii nikitunga kitu tu, kitu ambacho hakipo, kama kikombe cha dhahabu kinachoelea juu ya mloma Kilimanjaro, nikakwambia kikombe hiki kipo, na kama unabisha toa ushahidi kwamba hakipo. Hutaweza kunipa ushahidi kwamba hakipo, sio kwa.sababu kipo, bali kwa sababu hakipo.

Utaanzia wapi kunipa ushahidi kwamba kikombe hakipo kama hakipo?

On the other hand, kama kikombe kipo, kutoa ushahidi kwamba kipo ni rahisi tu. Watu watakiona, watakipiga picha, satellite zitakiona, television crews zitakiona et cetera et cetera.

Kwa hiyo, kazi ya uthibitisho ipo kwa.wale wanaosema mungu yupo.

Wanaobisha hawana kazi ya kuthibitisha.

Kwa sababu, visivyopo havithibitiki.

Sasa kama unafahamu kuwa kuna miungu na Mungu na mimi ninaye mmoja, kwanini unapingana na akili yako? Kwenye Sentesi yako ya kwanza umekiri kuwa kuna Mungu na infact umesema kuwa :mimi ninaye mungu wangu: Sasa kama unakri mbele ya JF kuwa mimi nina Mungu wangu, kwanini umeamua kupingana na akili yako inayo kiri kuwa mimi ni Mungu wangu?

Huwezi kusema nimeshindwa mjadala wakati wewe umeshindwa hata kusaidia "MADAI" na zaidi ya hapo nani aliye kupa Uongozi/wenyekiti wa Mjadala? Unaona tatizo ulilo nalo la kujifuraisha halafu unajipa heko mwenye? Hapo unaonyesha udhaifu katika NAFSI yako.

Umejiweka katika hali mbaya ulipo kiri kuwa mimi nina Mungu Wangu. Rejea katika posti yako "sentensi ya kwanza"
i. Nipe ushaidi kuwa mimi ninaye Mungu kama ulivyo kiri kwenye sentensi yako ya kwanza kwenye annexed quote?
ii. Nipe ushaidi kuwa Mungu ana jina kama ulivyo dai kwenye paragraph yako ya pili?
iii. Nipe ushaidi kuwa Mungu anatabia kama ulivyo dai kwenye paragraph yako ya pili?

Kama ungekuwa Mahakamani na ndio unatoa ushaidi wako, basi elewa kuwa teyari utakuwa umjifunga mwenyeke kwa kukiri kuwa "Plaintiff" Anaye Mungu na wakati huo huo unajipinga mwenyewe kuwa Mungu hayupo huku UKISHINDWA KUTETEA MADAI YAO zaidi ya KUKUBALI KUWA PLAINTIFF ANAYE MUNGU. Rejea kwenye post yako mwenyewe "quoted"

SASA: Tetea madai yako kuwa Mungu hayupo, Unapo tumia bayana ya "KAMA" ni kuonyesha udhaifu wako kuwa wewe umeshindwa kusaidia unacho kifuata zaidi ya kwa BAYANA na tamthilia.
 
Kwa sababu mungu anaweza kuwa hadithi tu, na si halisi.

Kwa mfano, unaweza kumkubali Jehovah au Allah kama mungu aliyeumba dunia, wakati katika hali halisi hajaumba dunia.

Kwa hiyo, nikisema kwamba una mungu nitakuwa sijakosea, kwa sababu huyo ndiye mungu unayemkubali. Lakini ukisema kwamba ndiye muumba wa dunia nitakukosoa, kwa sababu huna uthibitisho kwamba kaumba dunia.

Huwezi kusema nimeshindwa mjadala wakati wewe umeshindwa hata kusaidia "MADAI" na zaidi ya hapo nani aliye kupa Uongozi/wenyekiti wa Mjadala? Unaona tatizo ulilo nalo la kujifuraisha halafu unajipa heko mwenye? Hapo unaonyesha udhaifu katika NAFSI yako.

Umeshindwa mjadala kwa sababu umeshindwa kuanza mjadala.

Mjadala wa kumhusu mungu ni lazima uanze na kum define mungu ni nini, jina lake ni nani, na ana tabia gani.

Wewe hujaweza hata kumtaja jina lake wala sifa zake.

Sasa mimi siwezi kuanza kumvunja vunja mungu wako kwa point za kumvunja Apollo wakati sijui mungu wako ni Marduk au Osiris, Jehovah au Allah.

Umejiweka katika hali mbaya ulipo kiri kuwa mimi nina Mungu Wangu. Rejea katika posti yako "sentensi ya kwanza"
i. Nipe ushaidi kuwa mimi ninaye Mungu kama ulivyo kiri kwenye sentensi yako ya kwanza kwenye annexed quote?
ii. Nipe ushaidi kuwa Mungu ana jina kama ulivyo dai kwenye paragraph yako ya pili?
iii. Nipe ushaidi kuwa Mungu anatabia kama ulivyo dai kwenye paragraph yako ya pili?

Mungu yeyote uliyenaye, unaogopa kumtaja na kutupa sifa zake kwa sababu unaogopa atavunjwavunjwa.

Ukiniomba nikupe ushahidi kwamba una mungu wako, ni sawa na kukana kwamba una jungu wako.

What are you trying to say here?

Unakubali kuwapo kwa mungu au unakataa? Anayekubali kuwapo kwa mungu haombi ushahidi kwamba anakubali kuwepo kwa mungu.

The fact kwamba unaomba ushahidi kwamba unaye mungu inaonyesha hata wewe mwenyewe hujielewi kama unakubali kuwepo kwa mungu au hukubali.

Kama ungekuwa Mahakamani na ndio unatoa ushaidi wako, basi elewa kuwa teyari utakuwa umjifunga mwenyeke kwa kukiri kuwa "Plaintiff" Anaye Mungu na wakati huo huo unajipinga mwenyewe kuwa Mungu hayupo huku UKISHINDWA KUTETEA MADAI YAO zaidi ya KUKUBALI KUWA PLAINTIFF ANAYE MUNGU. Rejea kwenye post yako mwenyewe "quoted"

Mahakamani wewe ndiye ungeshindwa utetezi, kwa maana umeulizwa mungu wako ni yupi na ana tabia gani, hujajibu.

Mahakamani kuna kitu kinaitwa "immanet criticism".

Ambayo huenda kwa kuanza kwa kukubali the opposing side's position, only to dismantle it better from within.

Immanent criticism kutoka kwangu kwenda kwako itaanza kwa kukubali "Kama mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, imekuwaje kaumba ulimwengu wenye maovu na mabaya kama huu?"

Hapo ukisoma bila kuelewa emanent criticism unaweza usielewe kwamba hii sentensi haisemi kwamba mungu yupo, bali inahoji kama mungu yupo

Kwa kisomo zaidi, kama unapenda kusoma, kuhusu immanent criticism soma wiki hii hapa Immanent critique - Wikipedia, the free encyclopedia

SASA: Tetea madai yako kuwa Mungu hayupo, Unapo tumia bayana ya "KAMA" ni kuonyesha udhaifu wako kuwa wewe umeshindwa kusaidia unacho kifuata zaidi ya kwa BAYANA na tamthilia.

Nishakueleza kwamba ambacho hakipo hakionyesheki kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.

Nimekuuliza unithibitishie kwamba juu ya mlima Kilimanjaro hakuna taa ya dhahabu inayozunguka, hujaweza kunithibitishia kwamba haipo, ingawa haipo. Kwa sababu kisichokuwapo hakithibitishiki kwamba hakipo.

On the other hand, vilivyopo vinathibitishika kwamba vipo.

Kwa sababu vipo.

Sasa unadaiwa na watu wote wenye uwezo wa kufikiri na kufuatilia mambo kwa ukaribu zaidi kuonyesha kwamba mungu yupo.

Kwa uthibitisho.

Mpaka sasa hujaweza.
 
[QUOTE=Kiranga;9414208]Vitabu vya dini vimeandikwa na watu na hivyo haviko juu ya uchunguzi, kwa maana haviko juu ya uwezekano wa kuwa na makosa.

Kuhusu dhambi, umeanza kwa kusema shetani ni mpango wa mungu. Na kwa kweli dhambi nayo ni mpango wa mungu, kwa maana mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekaniki kufanyika. Hakufanya hivyo.

Lakini umetuambia kwamba amepiga deal na shetani kumpa shetani nguvu zake zote alizonazo.

Nguvu ambazo wanadamu hakuwaumba nazo.

Sasa basi, kwa sababu.

1. Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hakuwezekana kuwemo, lakini hakuumba ulimwengu huo.

2. Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haingewezekanika kuwepo, lakini hakuumba ulimwengu huo.

3. Mungu alikuwa na uwezo wa kumuumba binadamu ambaye hawezi kuguswa na dhambi, lakini hakuumba ulimwengu huo.

Kwa kuangalia haya matatu ya juu.

Kwa nini mwanadamu akifanya dhambi, dhambi ambayo imeumbwa, kuruhusiwa na kuchochewa na mungu kwa kupitia ruhusa na nguvu alizopewa shetani na uwezo mdogo aliopewa binadamu, kwa nini binadamu akifanya dhambi ahukumiwe kuchomwa moto?

Wakati dhambi ni mpango wa mungu na mungu angetaka isingekuwepo kabisa?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu kama huu.

Something is wrong with this picture.

If you look closely, the whole god/ satan dichotomy does not hold water.[/QUOTE]

Kama kawaida yako Unaanza kuropoka tena!

Kauli yako ya kwanza kuwa MUNGU ALIMPA SHETANI NGUVU ZAKE ZOTE TUFAHAMISHE UMEIPATA WAPI??

2. Umerudia MARA nyingi Kusema MUNGU ALIKUWA NA UWEZO.......! Sasa Huo Uwezo wa Huyo MUNGU ndio Uliomfanya AKAUMBA ANACHOTAKA KUUMBA! Na wewe amabe ni matokeo ya shahawa tu! Una uwezo gani wa kumpangia AU KUULIZA MUUMBAJI vitu vya KUUMBA??

3. Aliyekwambia MUNGU KAUMBA DHAMBI NI NANI?? We uende Ukamuibie Nyani Ngabu kwa sababu ya tamaa zako binafsi halafu UMLAUMU MUNGU KWA KUKUPA MIGUU! AU??

Unasapasapa Ukimkashifu MUNGU Kila mara, na Unategemea hivyo vi "like unavyojipa mwenyewe na hao wasio na elimu kuwa vitakuvimbisha kichwa au kukupa umaarufu USIO NA FAIDA YYT!

Unamkashifu anaemiliki pumzi yako na UNAKUFURU KILA UANDIKAPO!

Wamepita makafiri wengi kabla yako kina CARL MAX na Fredrick angel ambao wamemkashifu MUNGU ZAIDI YAKO! lkn hivi sasa WOTE HAO NI HISTORY!!

iko siku NA WEWE UTAKUFA! Na hapo ndipo utakapoona kuwa UMAARUFU WA KIPUUZI WA JF Hauto kusaidia kitu chochote na Huo moto unauongelea hapo juu utauona live!

only time will tell bwana MANYEGE!

cc kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Kwa saaabu ni jukwaa la intelligence acha nilitendee haki kwa kupita kimyakimya , mine is an ordinary mind.!
 
Qur'an 35:6
35_6.GIF

35:6 Hakika Shet'ani ni adui yenu, basi mfanyeni kuwa ni adui. Kwani yeye analiita kundi lake liwe katika watu wa Motoni
 
Hakuna ushahidi wowote nje ya habari za kufikirika tu za imani kwamba shetani au mungu yupo.

Wote wanaonekana kuwa ni hadithi za mapokeo tu.

Kama mtu ana uthibitisho wowote anakaribishwa kuuleta hapa tuuchambue.

Dhana ya shetani na mungu imeweza kusaidia primitive societies ku maintain order, lakini mwanadamu wa leo ambaye anatakiwa kuwa anaelewa mambo zaidi ya hizo primitive societies, hahitaji hadithi zisizo na uhalisi za mungu na shetani ili kuweza ku maintain order.

In fact, katika dunia ya leo, order yoyote itakayojengwa katika hadithi za uongo itakuwa fragile na prone to crumbling at anytime.Kwa sababu dunia ya leo ni dunia ya uchambuzi na uhakiki.

Dunia ya watu kuambiwa vitu na kuamini tu imepitwa na wakati.

!
!
mafundisho ya hadithi za kimapokeo zinatufundisha kuwa Mungu yupo halikadhalika Shetani......je unataka kusema huenda hakuna kitu kama hicho?kama hakuna nini chanzo cha maisha?.....unazungumzia vipi hasi na chanya, usiku na mchana, mema na mabaya n.k.
 
Kwanza, wapaswa kuelewa maana ya neno shetani. Kisha tafiti huyo shetani alitoka wapi. Utu wake ukoje, je Ana mwili wa aina gani. Je shetani ni uovu tu, au ni zaidi ya uovu. Je maoni ya Mungu katika biblia yanasema nini kumhusu huyo shetani. Unaweza pia kunitumia private message kwa majadiliano

!
!
nitakuja kwenye pm kwa majadiliano.....lakini hufikiri kwamba tujadili kwa uwazi katika uzi huu ili wengine pia waelewe
 
Shetani sio kiumbe ni cheo cha ualifu, uwasi, cheo hiki anapewa Jini au mwanaadamu mualifu kwa mfano " rudi nyuma yangu shetani we ukikwazo kwangu. haya ni maneno ya Yesu akimwambia mwanafunzi wake. Jini mualifu ndio anayeitwa shetani akiongozwa na Ibilisi

!
!
kwa hiyo kuna ibilisi na kuna shetani?
 
Vitabu vya dini vimeandikwa na watu na hivyo haviko juu ya uchunguzi, kwa maana haviko juu ya uwezekano wa kuwa na makosa.

Kuhusu dhambi, umeanza kwa kusema shetani ni mpango wa mungu. Na kwa kweli dhambi nayo ni mpango wa mungu, kwa maana mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekaniki kufanyika. Hakufanya hivyo.

Lakini umetuambia kwamba amepiga deal na shetani kumpa shetani nguvu zake zote alizonazo.

Nguvu ambazo wanadamu hakuwaumba nazo.

Sasa basi, kwa sababu.

1. Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hakuwezekana kuwemo, lakini hakuumba ulimwengu huo.

2. Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haingewezekanika kuwepo, lakini hakuumba ulimwengu huo.

3. Mungu alikuwa na uwezo wa kumuumba binadamu ambaye hawezi kuguswa na dhambi, lakini hakuumba ulimwengu huo.

Kwa kuangalia haya matatu ya juu.

Kwa nini mwanadamu akifanya dhambi, dhambi ambayo imeumbwa, kuruhusiwa na kuchochewa na mungu kwa kupitia ruhusa na nguvu alizopewa shetani na uwezo mdogo aliopewa binadamu, kwa nini binadamu akifanya dhambi ahukumiwe kuchomwa moto?

Wakati dhambi ni mpango wa mungu na mungu angetaka isingekuwepo kabisa?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu kama huu.

Something is wrong with this picture.

If you look closely, the whole god/ satan dichotomy does not hold water.
Mkuu ungenijuza mwanzo wala tusingefika hapa tulipo...........kumbe huamini katika mambo haya.........Ok baki na msimamo wako lakini ni heri ukafuata hata kama hutakuta hayo hutapoteza chochote kuliko kuacha na kukuta ni kweli utajuta sana........Nimeujua msimamo wako..........Una hiyari ya kukaa upande gani...........
 
!
!
ingekuwa kwa kiswahili mkuu...lugha ya Biblia inakuwaga ngumu zaidi ikiwa kwa kimombo
 
Back
Top Bottom