Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Ezekiel 28
Proclamation Against the King of Tyre

28 The word of the Lord came to me again, saying, [SUP]2 [/SUP]“Son of man, say to the prince of Tyre, ‘Thus says the Lord God:
“Because your heart is lifted up,
And you say, ‘I am a god,
I sit in the seat of gods,
In the midst of the seas,’
Yet you are a man, and not a god,
Though you set your heart as the heart of a god
[SUP]3 [/SUP](Behold, you are wiser than Daniel!
There is no secret that can be hidden from you!
[SUP]4 [/SUP]With your wisdom and your understanding
You have gained riches for yourself,
And gathered gold and silver into your treasuries;
[SUP]5 [/SUP]By your great wisdom in trade you have increased your riches,
And your heart is lifted up because of your riches),”

[SUP]6 [/SUP]‘Therefore thus says the Lord God:
“Because you have set your heart as the heart of a god,
[SUP]7 [/SUP]Behold, therefore, I will bring strangers against you,
The most terrible of the nations;
And they shall draw their swords against the beauty of your wisdom,
And defile your splendor.
[SUP]8 [/SUP]They shall throw you down into the Pit,
And you shall die the death of the slain
In the midst of the seas.

[SUP]9 [/SUP]“Will you still say before him who slays you,
‘I am a god’?
But you shall be a man, and not a god,
In the hand of him who slays you.
[SUP]10 [/SUP]You shall die the death of the uncircumcised
By the hand of aliens;
For I have spoken,” says the Lord God.’”

Lamentation for the King of Tyre

[SUP]11 [/SUP]Moreover the word of the Lord came to me, saying, [SUP]12 [/SUP]“Son of man, take up a lamentation for the king of Tyre, and say to him, ‘Thus says the Lord God:
“You were the seal of perfection,
Full of wisdom and perfect in beauty.
[SUP]13 [/SUP]You were in Eden, the garden of God;
Every precious stone was your covering:
The sardius, topaz, and diamond,
Beryl, onyx, and jasper,
Sapphire, turquoise, and emerald with gold.
The workmanship of your timbrels and pipes
Was prepared for you on the day you were created.

[SUP]14 [/SUP]“You were the anointed cherub who covers;
I established you;
You were on the holy mountain of God;
You walked back and forth in the midst of fiery stones.
[SUP]15 [/SUP]You were perfect in your ways from the day you were created,
Till iniquity was found in you.

[SUP]16 [/SUP]“By the abundance of your trading
You became filled with violence within,
And you sinned;
Therefore I cast you as a profane thing
Out of the mountain of God;
And I destroyed you, O covering cherub,
From the midst of the fiery stones.

[SUP]17 [/SUP]“Your heart was lifted up because of your beauty;
You corrupted your wisdom for the sake of your splendor;
I cast you to the ground,
I laid you before kings,
That they might gaze at you.

[SUP]18 [/SUP]“You defiled your sanctuaries
By the multitude of your iniquities,
By the iniquity of your trading;
Therefore I brought fire from your midst;
It devoured you,
And I turned you to ashes upon the earth
In the sight of all who saw you.
[SUP]19 [/SUP]All who knew you among the peoples are astonished at you;
You have become a horror,
And shall be no more forever.”’”

!
!
ungeweka kwa kiswahili ingependeza mno......kiingereza cha Biblia kigumu mno
 
Qur'an

2_268.gif

2:268. Shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu. Na Mwenyezi Mungu anakuahidini msamaha na fadhila zitokazo kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa, Mwenye kujua.
aya za shetani.
 
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.

Muulize Paul Makonda!

Anamfahamu kwani alitoa maelezo kwenye bunge la katiba kana kwamba ni majirani zake!
 
Acording to Qoran , anaitwa ibilisi ,ameumbwa kwa moto na alikuwa malaika pia ,na pia inasemekana ni mzuri sana ,sio kama tunavyozani kwamba anatisha kama vile picha za horror ,ni mzuri mzuri ajabu ,ila alikataa kumsujudia binadamu apipoamrishwa na mungu kufanya ivo , na ndo akatolewa heaven na kuwa ibilisi ,I hope sijakosea.. wenyewe elimu zaidi watanikosoa...

!
!
kumbe alikataa kumsujudia binaadamu na sio Mungu?
 
Pia umejifunza vibaya hakuna mahali popote kwenye biblia takatifu au katika mahubili ambapo shetan ametajwa kama Bwana.

!
!
siajataja source yoyote na niko interested kumjua shetani tu wheather atoke kwenye biblia au mahali pengine kokote
 
Mungu yeyote utakayemtaja kwa a commonly accepted definition ni hogwash.

Sianzi kuogopa, nakubana unipe mungu gani unayemkubali ili niweze kujikita katika kumvunjavunja vizuri.

Kwa maandiko na references.

Wewe ambaye hata huwezi kumtaja mungu unayemkubali ndiye unayeogopa.

Unaogopa kumtaja mungu wako kwa sababu unajua kwamba kwa kumtaja unaongeza exposure ya mungu wako kuvunjwa vunjwa kama sanamu.

Obviously huna confidence kwamba mungu wako anaweza kusimama under scrutiny.

Ungekuwa na confidence ungemtaja na kutuambia sifa zake ni zipi tuzipime vizuri.

!
!
kwa hiyo kaka kuna Mungu au miungu kibao tu, au? Je hii ina maana pia kuna Shetani wengi pia?
 
Saa nane za usiku kunako kama dakika 2 au 3, usiku Tulivu kuna kunakuwa na kaupepo usiovuma..........ukiwa uchi wa Mnyama (mtupu) toka nje ya Nyumba yako pekee yako bila kusema chochote kasimame mbele ya uwanja wenu wa nyumba usawa na mlango(Hatua kati ya 3 hadi 5)..........haitachukua Dakika 5 nakuhakikishia utakiona kiumbe cha ajabu.........Tahadhali ukikiona kiumbe hicho ondoka taratibu bila ya kusema chochote ingia ndani, usipofanya hivyo huo utakuwa mwisho wa uhai wako..........

!
!
mjini chai kwa huku niliko haiwezekani kabisa kufanya huo mchezo, au labda nijitie wendawazimu. Maana hapa kutoka uchi mida hiyo hawatanielewa na huwa hapakauki watu, lakini pia nimeogopa kidogo mkuu. Je wewe ulishawahi kufanya hayo na kumuona?...yukoje yukoje kwani
 
Kituru sijakuelewa? Wewe kweli ndiye shetani ambaye tunamuomba Mungu atulinde na mabaya ya huyu shetani, au wewe ni mshirika wake au au au au au?
 
!
!
hapa ndipo sehemu na mimi nilikuja kujiuliza mno na kutaka kumjua shetani pia......may be shetani pia ana nguvu mno na "hawezekaniki"?sijui lakini ngoja niendelee kujifunza

Bora wewe umetaja framework ya mungu wako.Unajulikana unaongelea mungu wa Quran.

Wengine wanaogopa hata kusema mungu wao ni mungu gani.

Swali moja kwako.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao ibilisi anawezekanika kuwepo?

Especially because mungu wako anatakiwa kuwa anajua yote, pamoja na viumbe watakavyokuwa kabla hawajawa, na hana kinachomzuia kubadilisha.

This goes for the god of the bible as well, because there is no significant difference between the bible and the quran in this matter.
 
!
!
kumbe alikataa kumsujudia binaadamu na sio Mungu?

Yes binadamu ,nimekuambia yeye pia alikuwa malaika ..Allah alivomuumba binadamu kwa kutumia udongo aliwaambia wamsujudie binadamu ,yeye akakataa kwa kusema hawezi kusujudu kiumbe kilichoumbwa kwa udongo wakati yeye ni moto...thats what I know...
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ahitaji kuwatahini viumbe wake?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ahitaji kufanya makubaliano na kiumbe chake?

Hususan kama kiumbe chake hicho kimeonyesha uasi?

Ina maana huyu mungu alikiogopa?

Na kama mungu ni muweza wa yote na mjuzi wa yote, na hakuna kinachotokea bila ruhusa yake, na yeye ndiye kaanzisha ulimwengu na kuupa tabia zake zote, shetani anaweza kulaumiwa kwa kuwa alivyokuwa au ametokea hivyo kwa sababu ya kukamilisha mpango wa mungu tu na hivyo hawezi kulaumiwa?

!
!
kaka mbona unamuuliza mwenzio maswali ya kukomoa namna hiyo, duh
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote apende sana kuabudiwa?

Huyu mungu hana vitu vikubwa zaidi vya kufanya kuliko kupoteza attention yake kufuatilia jinsi anavyoabudiwa na binadamu?

Huyu mungu ana inferiority complex gani mpaka awe addictive na kuabudiwa hivi?

Mimi ninavyojua kupenda kuabudiwa ni tabia ya binadamu madikteta na megalomaniacs kama kina Idi Amin na Joseph Stalin, kwa nini mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote apende kuabudiwa?

Kuabudiiwa na binadamu kutamuongezea nini mungu huyu ambaye kila kitu ni mali yake?

Huyu mungu muweza yote kwa nini yuko needy sana na ana weakness ya kupenda kuabudiwa kiasi cha kushurutisha watu wamswalie mara tano kwa siku?

Halafu hujajibu swali langu, kama mungu anapanga kila kitu, ina maana hata shetani kuwepo kwake kulipangwa na mungu.

Shetani anaweza kulaumiwa kwa kuishi kama alivyopanga mungu?

!
!
duh!aiseeee nazindi kuchanganyikiwa hapa.....bado sijamjua shetani nakutana na changamoto kuwa pia huenda hayupo
 
!
!
ooooh My God

Kwa hiyo unamuabudu mungu usiyemuelewa wala kuweza kumuelezea.

Kama shetani hawezi kulaumiwa, habari nzima ya dhambi inakosa msingi.

Kama habari ya dhambi inakosa msingi, kwa sababu shetani na zao lake, dhambi ni mpango wa mungu tu, binadamu wote wanaofanya dhambi wanatekeleza mpango wa mungu tu.

Sasa kwa nini tunaambiwa mungu atawahukumu binadamu.kwa kufanya dhambi, wakati kila kitu ni mpango wa mungu na hivyo hakiepukiki?

Unawezaje kuhalalisha hukumu ya moto kwa wanadamu kama kisa cha wanadamu kufanya dhambi ni shetani, na shetani alikuwa anatekeleza mpango wa mungu tu, na hivyo habari nzima ya dhambi ni mpango wa mungu tu?

Mungu anaweza kuwahukumu binadamu kwa kufanya dhambi aliyoipanga ifanyike yeye mungu mwenyewe kabla dunia na viumbe havijaumbwa?
 
Back
Top Bottom