Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Kwanza hujathibitisha kwamba walitokewa na Maria au walikuwa na njaa tu wakapata hallucination.

mkuu , ujumbe wa Fatima unahusisha maagizo,utabiri, maonyo na ahadi kuhusu imani na dunia ambavyo vililetwa na Mama Bikira Maria kwa hao watoto kwa matukio tofauti kuanzia Mei hadi Oktoba 1917, haya ni matukio ya kutukumbusha sisi wanadamu tusijisahau kiimani juu ya M'Mungu.
 
there are things which are difficult to explain!

Some are difficult to explain because they are not real.

Like a square circle in Euclidean geometry.

If you can't explain god, you can't claim to know he exists.

Just as if you can't explain the above square circle, you can't claim to know it exists.
 
mkuu , ujumbe wa Fatima unahusisha maagizo,utabiri, maonyo na ahadi kuhusu imani na dunia ambavyo vililetwa na Mama Bikira Maria kwa hao watoto kwa matukio tofauti kuanzia Mei hadi Oktoba 1917, haya ni matukio ya kutukumbusha sisi wanadamu tusijisahau kiimani juu ya M'Mungu.

Imani kila mtu ana yake.

Unaruhusiwa hata kuamini mungu ni.funza aliye mguuni mwa babu yako.

As long as ni imani that does not concern me.

Maswali yangu yanajikita kwenye kutafuta ujuzi zaidi ya imani.

Natumaini unaelewa tofauti.
 
ni kweli imani kila mtu anayake kutegemeana na mazingira na mapitio ya maisha yako, mimi nimelelewa katika maadili ya kiimani ya kumuamini Mungu mmoja tu, pia mwili wangu utakufa isipokuwa roho itabaki milele ;mbinguni au motoni. ila sijafundishwa undani wa chanzo ( kama kipo ) cha Mungu na Shetan,hili linabaki kuwa fumbo la imani kama ilivyo maisha ya huko mbinguni au motoni.
 
mbona kam unatia huruma vipi ?
 
haamini visivyooneka anakwambia mwaka wa 21 huu haamini uwepo wa mungu

tatizo anahitaj proof ya uwepo wa Mungu na Shetan kitu ambacho hakifikiriki kwa upeo wa kawaida wa kibinadamu.
 
ni kweli imani kila mtu anayake kutegemeana na mazingira na mapitio ya maisha yako, mimi nimelelewa katika maadili ya kiimani ya kumuamini Mungu mmoja tu, pia mwili wangu utakufa isipokuwa roho itabaki milele ;mbinguni au motoni. ila sijafundishwa undani wa chanzo ( kama kipo ) cha Mungu na Shetan,hili linabaki kuwa fumbo la imani kama ilivyo maisha ya huko mbinguni au motoni.

Kwa.hiyo sema unaamini mapokeo.

Hujui kwamba mungu yupo.

Unaamini tu.

Kujua na kuamini si kitu kimoja.
 
haamini visivyooneka anakwambia mwaka wa 21 huu haamini uwepo wa mungu

In fact sitaki habari ya kuamini, nataka kujua.

Na sijapewa uthibitisho kwamba mungu yupo bado.

Hivi mungu gani mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.

Ambaye angeweza kuumba ulimwengu wowote aliotaka.

Akaja kuumba ulimwengu huu.

Na shetani awezekane kuwamo, na vifo, na magonjwa, na matetemeko ya ardhi etc.

Ina maana alishindwa kutengeneza mzuri zaidi?

Kama alishindwa hawezi yote.

Au aliweza hakutaka tu?

Kama aliweza hakutaka tu basi hana upendo wote.

Ukichekecha unaona mungu ni story tu, isiyo na uhalisi.

Kama ile habari ya a square circle in Euclidean geometry.

Just because you can think about a square circle, that does not mean it is real.
 
hapa hata me pananichanganya sana!
 
hapa hata me pananichanganya sana!

Tatizo wanaokubali kuwepo kwa mungu wamemuwekea wigo, ukiuliza maswali logical na intelligent utapewa all sorts of "deus ex machina". Kuanzia "the lord works in mysterious ways" mpaka "akili ya mungu haiwezi kujulikana kibinadamu".

Eboo, sasa kama akili ya mungu haiwezi kujulikana kibinadamu wewe unajuaje kwamba yupo?

Ukiuliza sana utaamvuwa unakufuru, wengine wanaweza hata kukuua kutetea uongo wao usioteteeka.

Ukifikiria baba wa kawaida wa kibinadamu tu, ambaye hana upendo wote na uwezo wote, ukimpa uwezo wa kuiwezesha familia yake iishi bila shida kirahisi in most cases atautumia kuhakikisha hilo.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wa juu kabisa kumshinda huyu baba wa kibinadamu na upendo wa juu kabisa kumshinda huyu baba wa kibinadamu aumbe ulimwengu ambao unaruhusu viumbe wake wapate matatizo hivi tunavyoona?

Ukichekecha sana utaona hii habari ya mungu ni hadithi tu
 
Mashetani tunao kila siku tunapishana nai. Ni binadamu wenzetu na vichwa saba vya dhambi (wakatoliki wanajua).
 
Kama hakifikiriki kwa upeo wa kibinadamu unajuaje kwamba mungu yupo?

Mungu atabaki kuwa 'the most intelligent designer of all times', embu fikiria 'space,time and earth' ; dunia na sayari zingine zipo kwenye 'equillibrium ' kiasi kwamba hazigongani kwenye njia zao kutokana na jinsi Muumbaji alivyozipanga. Sisi binadamu na Maada zote zina mwanzo; kuna kitu au muumbaji alievianzisha vyote kwa sababu anazozijua mwenyewe! hakuna kitu kinachojiunda bila kuundwa kwanza au kinachozunguka bila kuzungushwa. dunia inajizungusha yenyewe na inazunguka jua! Newton's 1st law of motion " an object will either remains at rest or continues to move at constant velocity unless an external force act on it" nani alianza kuizungusha dunia na ku maintain balance? ni creator pekee wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
Back
Top Bottom