Mamtolo
Senior Member
- Feb 27, 2018
- 195
- 218
Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli.
Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti ya Bolt driver,tuwasiliane. Gari nlonayo ni private(namba ya njano) sio ya biashara (namba nyeupe)