Msaada kuhusu kuacha kazi 24 hours notice

Nataka kujifunza kwa kesi kwa ujumla wake na sio hii.

Kama mtu alikubali kwenye mkataba kuwa atalipa mshahara wa mwezi mmoja akikatiza mkataba bila ya notice, na akakatiza soon baada ya kupewa mshahara, hatua gani zitachukuliwa kwake?

hapo ni rahisi kukamatwa kwenye malipo ya mafao yako tu...mwajiri akikujazia fomu za mafao yako kuna kakipengele mfano kwenye fomu za PPF utajaza mafao yapite kwa mwajiri na wanakukata juu kwa juu. kama vipi unaweza pelekwa mahakamani vile vile na mwajiri akudai mshahara wa mwezi, si umevunja makubaliano bwana.
 
Alaaaa kumbe!!

Haya bana :A S crown-2: lol

Ila sheria nyingi za kazi nizijuazo mimi ni huwa zinatoa uhuru kwa waajiri kujitungia sheria zao pia. Kwa hiyo, waajiri wengi hutumia huo mwanya pia ku-cover their you know what na mara nyingi hata kukitokea timbwili mtu utashindwa tu mahakani.

Fine prints ndo huwa mchawi!

Nimekusoma kabisa umesema vyema huo ndo ukweli wenyewe
Unakuta mtu anasaini kwa muhindi mkataba hauna likizo allowance, nyumba, matibabu
Lakini haendi kokote waajiri wanatunga sheria zao
 
Hapa unazungumzia mambo mengi.
Kwanza unapofanyakazi unakuwa na benefit nyingine zaidi ya mshahara mf. NSSF, Leave allowance nk

Gaijin hapa kwa mfano unazungumzia mshahara unapewa cash au bank.
Mimi kuna mtu alitoa notice ya 24hrs na kumbe anasafiri usiku kwenda UK
Nilikwenda Bank nikablock ule mshahara usitoke na ukarudi ofisini unless unambie
umepata mshahara ukaenda ukatoa pesa yote ndo ukaja ukaacha kazi but
kumbuka ukiajiriwa unakuwa umetoa details zako zote so watakufatilia tu wakupate

kwa mwajiri, you dont even have to strain for that, unless na wewe ulimwajiri ki magumashi basi inakula kwako
 
Nimekusoma kabisa umesema vyema huo ndo ukweli wenyewe
Unakuta mtu anasaini kwa muhindi mkataba hauna likizo allowance, nyumba, matibabu
Lakini haendi kokote waajiri wanatunga sheria zao

huo mkataba ni batili....
 
Nimekusoma kabisa umesema vyema huo ndo ukweli wenyewe
Unakuta mtu anasaini kwa muhindi mkataba hauna likizo allowance, nyumba, matibabu
Lakini haendi kokote waajiri wanatunga sheria zao

They say the devil is in the details. And it is.
 
hapo ni rahisi kukamatwa kwenye malipo ya mafao yako tu...mwajiri akikujazia fomu za mafao yako kuna kakipengele mfano kwenye fomu za PPF utajaza mafao yapite kwa mwajiri na wanakukata juu kwa juu. kama vipi unaweza pelekwa mahakamani vile vile na mwajiri akudai mshahara wa mwezi, si umevunja makubaliano bwana.

Yaani ukienda kuchukua mafao yako PPF lazima mwajiri wako "mliyekosana" ahusike?
 
LAZIMA atahusika tu Gee...
Nani anakujazia fomu zako za kwenda kudai mafao yako?

Hizi system mie naona hazijakaa sawa. Kama umenifukuza kwa ugomvi mkuu, au kampuni imefilisika, utanitakaja kuwa nikienda kufata mafao yangu nimtafute mwajiri wa zamani?

Na wale wanaohamishia accounts zao za mafao kutoka kwa mwajiri mmoja hadi mwengine [akibadilisha ajira] inakuwaje wakitaka kuchukua mafao yao?
 
Gee hakuna jinsi nijuavyo mimi unaweza kupata mafao yako bila kupita kwa mwajiri(naweza kusahihishwa) na haijalishi mliachanaje ila hiyo inabaki kuwa haki yako tu, sasa kama una deni basi na yeye ndo mwanya wa kukukamata hapo.

Ukibadili mwajiri bado mwajiri wa awali anahitajika kujaza taarifa zako za ajira na michango yako pia ili kuwezesha mwajiri mpya nae kuendelea kukuchangia.
Sasa hapo una pakukwepea one month salary in lieu of notice?
 
That don't make no sense whatsoever! Kwani wewe mwenyewe huwezi kujaza taarifa zako za ajira? Au ni kipi anachojaza mwajiri ambacho wewe huwezi kukijaza?
 
Tunaomba Mamaa wa HR aje atolee ufafanuzi hili, ikiwezekana. Manake kama hali ni hiyo ni makosa makubwa mno.

Kimsingi Mwajiri wangu anatakiwa kujua tu "account number" yangu ya Mafao ili aniingizie mafao yangu katika kipindi tulichokubaliana lakini hatakiwi kujua nina kiasi gani kwenye account hiyo wala kupata taarifa siku nikiamua kwenda kuchukua mafao yangu iwe bado naendelea na kazi kwake au nimeshaachana nae.

Vyenginevyo ni kuingilia faragha yangu.

btw: Mwajiri ajaze michango yake kwangu kwani huko kwenye Shirika la Mafao hawaweki kumbukumbu?
 
Unaweza kujijazia lakini fomu zenyewe zilivyotengenezwa ni kwamba lazima kuna mahali kunahitaji mwakiri akuthibitishe/atie muhuri, sasa hapo bado una choice zaidi ya kurudi kwake?

Halafu na sisi tulivowazembe, kama una sign mkataba unao bana haki zako, utakuwa na habari hata ya kuweko rekodi ya michango ya mafao yako????
Waajiriwa wengi wapo tu reluctant na wameacha kila kitu aamue na kuafanya mwajiri.
 
Wee mwenyewe mwanzo ulishasema kuna tatizo kwenye mfumo mzima, na mimi nimeongeza kuwa mwajiri kaachwa afanye hayo yote, ila najua statement ya michango yako unahaki ya kuifuatilia kwenye shirika husika.

Dena anaweza kutu enlighten zaidi hapa.
 
Unaweza kujijazia lakini fomu zenyewe zilivyotengenezwa ni kwamba lazima kuna mahali kunahitaji mwakiri akuthibitishe/atie muhuri, sasa hapo bado una choice zaidi ya kurudi kwake?

Halafu na sisi tulivowazembe, kama una sign mkataba unao bana haki zako, utakuwa na habari hata ya kuweko rekodi ya michango ya mafao yako????
Waajiriwa wengi wapo tu reluctant na wameacha kila kitu aamue na kuafanya mwajiri.

Ndiyo maana kuna sehemu zingine haya mambo ya benefits yanakuwa handled na thirdy party. Hata kama hayawi handled na third party bado mwajiri hatakuwa na unfettered access kwenye account yangu.

Naona kama vile mfumo mzima haujakaa sawa. Pengine unahitaji major overhaul ili kuuweka sawa.
 
huwezi kulipwa kwa kuacha kazi na wala hutakiwi kulipa kwa kuacha kazi. Hawa waliotunga sheria hii kimsingi kama walifanya kumpendelea mwajiri vile. Hii sheria ni ya kizamani sana na inafaa kurekebishwa.........mazingira ya sasa siyo

Ni upuuzi wa hali ya juu. Eti umlipe mwajiri? Tena umlipe kwa ujira ambao umeshaufanyia kazi?

Halafu kuna watu wanaiona hiyo "sheria" iko sawa. Only in Tanzania!!!

Tanzania hata vigilante justice wanaona ni sawa so hata sistahili kushangaa hii ya kumlipa mwajiri endapo utaacha kazi.
 
BHT umeshawahi kwenda mahakama ya kazi??
Utashangaa mtu anaqoute mpaka sheria za kazi lakini
mwajiri anasema agreement yangu mimi na wewe ni
kama ulikuwa unajua sheria hii inasema hivi basi usingesaini
kusaini mkataba huu ina maana umekubaliana na masharti yangu na si vinginevyo

Sijakataa kuwa sheria hazipo sheria zipo sana tena ziko wazi
lakini utahangaika wewe na huo mshahara wa mwezi huku ukipoteza muda

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Uhusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa ni contractual. Mahakama haitaweza kuingilia na kutengua terms za mkataba unless ziko au zilifanywa kinyume na sheria. Kwa mfano kama sheria inasema minimum annual holiday per year ni siku 28, halafu mkataba unasema ni siku 26 then hiyo term itakuwa kinyume na sheria na mahakama inayo haki ya kuingilia.

Pia mleta mada kama vile anadhani kuwa kwa vile hakusaini mkatataba basi hakuna mkataba. Mkataba unaweza uwe au usiwe wa maandishi. Provided that kuna sufficient consideration (promise ya yeye kufanya kazi na mwajiri kumlipa) then hapo kuna mkataba. Pia ikumbukwe kuwa hizo job offer letter na barua ya kudhibitishwa kazini may form part of the contract as well.

Maelezo ambayo mleta mada ameyatoa ni machache sana kuweza kumpa ushauri nasaha wa kisheria. Kunaweza kuwa na better options zaidi ya kutoa notice ya masaa 24 kama tukipata facts zaidi. Ila ushauri ambao siyo wa kisheria ni kwamba unapoacha kazi ni vizuri uache in good terms. You never know milima haikutani lakini binadamu wanakutana.

Pia hata huyo mwajiri mpya atakuwa na wasiwasi kuwa ukipata offer nzuri zaidi unaweza kumlima notice ya masaa 24. As a result, anaweza kuweka strict terms kwenye mkataba which may not work in your favour.
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Uhusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa ni contractual. Mahakama haitaweza kuingilia na kutengua terms za mkataba unless ziko au zilifanywa kinyume na sheria. Kwa mfano kama sheria inasema minimum annual holiday per year ni siku 28, halafu mkataba unasema ni siku 26 then hiyo term itakuwa kinyume na sheria na mahakama inayo haki ya kuingilia.

Ndiyo maana mimi nikasema kuwa employers huwa wana latitude ya kuandika visheria vyao wenyewe so long as viko within the confines of the governing law.

Pia mleta mada kama vile anadhani kuwa kwa vile hakusaini mkatataba basi hakuna mkataba. Mkataba unaweza uwe au usiwe wa maandishi. Provided that kuna sufficient consideration (promise ya yeye kufanya kazi na mwajiri kumlipa) then hapo kuna mkataba. Pia ikumbukwe kuwa hizo job offer letter na barua ya kudhibitishwa kazini may form part of the contract as well.

Yup..especially if the governing law allows for that.

Maelezo ambayo mleta mada ameyatoa ni machache sana kuweza kumpa ushauri nasaha wa kisheria. Kunaweza kuwa na better options zaidi ya kutoa notice ya masaa 24 kama tukipata facts zaidi. Ila ushauri ambao siyo wa kisheria ni kwamba unapoacha kazi ni vizuri uache in good terms. You never know milima haikutani lakini binadamu wanakutana.

Absolutely. I always try not to burn bridges whenever I move on to something else.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
(5) Instead of giving an employee notice of termination, an employer may pay the employee the remuneration that the employee would have received if the employee had worked during the notice period.​

Why 'may' and not 'must' or 'shall'?

(6) Where an employee refuses to work during the notice period,

What about during the no-notice period?

an employer may deduct, from any money due to that employee on termination,the amount that would have been due to the employee if that employee had worked during the notice period.

Does this have anything to do with quitting a job within a 24 hour period? Don't workers get paid for the work that has been done? Which means you don't get paid for anything you haven't worked for....i.e. if you worked for half a day and decided to walk out you only get paid for half a day....

So why should you pay an employer who paid you your wages for work that has already been done?
 
Back
Top Bottom