Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,633
Watu wengi hatuna attention to detail.
Maneno/lugha katika sheria ni kitu muhimu sana. Na ndiyo maana nika point out modal verbs zilizotumika katika hiyo inayodaiwa kuwa ndiyo sheria ya kazi inayohusiana na kuacha/ kuachishwa kazi.
Sasa kwa nini mwajiri "may" pay the employee upon termination na siyo "shall" au "must"? Kwa sababu modal verb iliyotumika hapo ni "may" mimi nadhani kumlipa mwajiriwa zaidi ya mshahara ambao kaufanyia kazi ni ishara tu ya kiungwana. Sioni jingine zaidi ya hapo.
Kwa nini sasa naye mwajiriwa asimlipe mwajiri wake? Hapa hatuwezi kulinganisha mwajiri na mwajiriwa. Binafsi na assume kuwa mwajiri ana uwezo (mkubwa) zaidi ya mwajiriwa na ndiyo maana akamuajiri huyo mwajiriwa in the first place. Na ndiyo maana nadhani hata hiyo sheria ya kazi haimlazimishi huyo mwajiriwa kufanya hivyo.
Kama kwa hiari yako wewe mwajiriwa unaona inafaa kurudisha mshahara wako wa mwezi mzima ambao umeufanyia kazi tayari na yeye mwajiri wako akaupokea basi hamna tatizo maana umeamua mwenyewe kufanya hivyo.
Ila panapokuwepo na mkataba, basi terms na conditions za huo mkataba nazo zitazingatiwa kwa pamoja na sheria husika.