staki bwanaaaaaaaa!!!!! aaaaarrrgghhhh.. hamisiiiii.
Huyo demu na huyo mwokota simu wote mamburura
napenda unavyohema hema
Mkuu Papizo nimefikia pazuri sana kwa maswali yangu, ujue mwanzo walitaka kufichaficha. anyway hebu nawe tupia maujanja uifunge hiyo akaunti, ina picha chafu sana, pamoja na makosa yake picha zilizopo zinawaweka pabaya sana ndg zake na hasa wazazi wake.
Mfalme Daudi sasa huyo mchizi wake kwa nini hawi man enough amsaidie huyo dada? Yeye kama mwanaume wa kweli anao uwezo wa kumsaka na kumpata huyo jamaa, si aseme simu ni ya mpnzi wake?
nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi
Nimerudi Na info jamani!Then mbona papizo umekuwa mkali?Kuna jamaa wameni-PM na nishawapa username ndo nasubiri matokeo,wakishindwa zamu yako....
Haya ni muda Wa maswali yenu sasa tafadhali!
sidhan kama hiyo ishu ilikua inahitaj 3rd party zaid n yakuongea wenyewe..pia nahic wao wenyewe wanafahamiana uzuri sana mpk wakafikia hapo.....na kama alikuadisia kaangusha simu umefichwa kitu jaribu kuichunguza vizur hyo sinario yako....
Anayefanya huo uchafu ni huyo jamaa yake aliyeachana nae na sio mtu mwingine, maana inaonekana jamaa alipigwa chini demu akapata mwanaume mwengine ndio maana ni kama ana pay back,....ujinga na utoto tu
pole yake, mwambie hasijistress yatapita tu, kila mtu ana uchi so sio ishu sana kuona, vibaya kuutumia
Nimerudi Na info jamani!Then mbona papizo umekuwa mkali?Kuna jamaa wameni-PM na nishawapa username ndo nasubiri matokeo,wakishindwa zamu yako....
Haya ni muda Wa maswali yenu sasa tafadhali!
hivi mtu unajipiga picha za uchi ili iweje lakiniiii?? ujana kweli maji ya moto...