Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Nenda FB bonyezeni "abuse" kwa sana watam"block" account yake! pili si alishampigia simu? pelekeni namba yake polisi!!
 
Wanafunzi wanapata mimba sababu ya viherehere vyao. Source: Dr.(yakupewa) J M Kikwete, President, URT.

Tatizo hapa ni kiherehere..... mchangieni laki tatu wajameni.

babu hiyo laki tatu kwako si pesa ya pipi tu. mchangie huyo denti asiumbuke
 
Nenda FB bonyezeni "abuse" kwa sana watam"block" account yake! pili si alishampigia simu? pelekeni namba yake polisi!!

Halafu wakisha peleka namba polisi ili iweje sasa!? Changisheni laki 3 otherwise ataumbuka huyo mtoto.
 
Kama ameziupload hizo picha una uhakika wengine hawajadownload?
 
Mshauri huyo dada aliyejipiga picha hizo ajinyamazie tu na ajiandae kisaikologia kukabiliana na yatakayojiri watu wakiona picha hizo. Najua ni aibu na ni ngumu lakini ni matokeo ya kazi ya mikono yake. Akitafuta hela alipe atamfanya huyo jamaa aone kuwa ni kazi inayolipa. Ukikaa kimya watu watatizama mwisho watatokea watakaoona huruma na baadaye litatokea suala lingine kubwa watu watasahau. Kumbuka kuna bwana mmoja aliwahi kukimbia mtupu kwenye uwanja wa mpira mechi ikiwa inaonyeshwa kwenye luninga lakini kwa sasa hakuna anayemkumbuka kwa jina au uraia na si aibu tena kwake. Mshauri huyo asidai utakatifu wakati alishakosea, aombe msamaha kwa watakaokerwa na picha zake na aape kutofanya tena kosa hilo. Tena wala asimpigie kabisa simu huyo jamaa maana watu bwana akijua kuwa kitu kinakuumiza atakufuata sana mwisho atataka na makubwa kuliko laki3
 
Na cha kushangaza zaidi baada ya kufanikiwa kufungwa kwa ile page ya kwanza kafungua nyingine tena,Na ameanza upload picha upya asubuhi hii!..Ila jina amebadilisha siyo la yule binti tena!
 
Hata mie ningekuwa yeye nigefanya hivyo. As long as he has the photos he can keep doing that for as long as he wants tena hajaamua kwenda kuziuza global. Nendeni polisi mkamshitaki. Kisha polisi wanaweza kumtrack huyo mtu. Technology imeadvance these days. Inshort huyo dada kasha umbuka. Kilichobaki is her geting her revenge. So yeye kukaa ndani kujifungi will not make this problem go away. Fight fire with fire. Ni pm nikupe strategy za kudeal nae.
 
Dah itabidi nikukaribishe dinner kesho.Usichezee mapenzi likizidi hata unakumbuka km kuna kuachana unatuma tu mapicha.welldone

Nitashukuru sana nikaribishe tu dinner nije kula please hahaha, hope mzima mkuu wangu kamwa10,,naona watu wamemkana kabisaaa na kuonekana kama huyo msichana amefanya makosa makubwa sana, mapenzi kitu kingine kabisaaa acha kabisaa...hasa mkipendana
 
Last edited by a moderator:
mwambie akamchukulie RB polisi then mnamwambia jamaa kuwa aje kuchukua mshiko wake hapo ndo mumkamate na kumfungulia kesi......but seriously why do you take naked photos of urself tena kwenye simu!! BUT FACEBOOK kuna potion ya kureport abuse account ikafungwa tatizo atafungua tena nyingine so hakikisha mnamkamata.
 
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.

Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.

Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..

Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.

Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.

isije ikawa ni bwana ake mwngne sasa wameznguana ndo anaamua kufanya hivo
 
Hao Wana Yao Tu,na Inawezekana N Mtu Wake Wa Longtime,sa Ye Km Anamuogopa Babake Mbona Mwanzo Alitupia Picha?mnafk Mkubwa Huyo,allah Amlaani,yan Ye Anahof Huu Mwez Tu Wakat Maovu Yamekatazwa Miez Yooooooote,m Anipe Laki Moja,nafunga Hyo Account Ya Jamaaa,!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom