Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
We hujawahi?
we umewahi?
We hujawahi?
Kwani zile camera kwenye simu kazi yake kubwa nini?
we umewahi?
cjui kazi zake. kwanza cm yangu haina kamera.
Nimewahi kukupiga wewe
Ngoja upate simu ya camera halafu utajuwa kazi zake, inaitwa "sexting".
ngumi au kibao?
Bao.....:smile-big:
bao bado ntake radhi tafadhali.
Mbona nshakupiga matatu tayari...nikutake radhi ya nini? We ndo nipe hongera
ntajie jina la hiyo account nitumie uwezo wangu mkubwa wa ushawish afute account tabia mbaya hii kanikera kweli huyo mwanaume
una hamu eeehhhh???
Hahahaha mkuu unabana mpaka penalt, haha naona maswali magumu sana haya huyo jamaa kujibu, N.B Weka hilo jina...
Wewe umetosheka?
mi staki.
hutaki nini?