Nkanaga
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 653
- 623
Dah.............. kumbe. Naye aliweka kumbukumbu za nini wakati mtu alishaachana nae? Aende TAKUKURU bwana ah...................
Mkuu ni heri hujaona hiyo makitu, haiwezekani arekodiwe kupitia simu yake na aendelee kuweka kumbukumbu hiyo. naamini huyo waliyeachana naye ndiye anayemfanyia hayo mambo, kwa sababu wanazozijua wao.