Nkanaga
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 653
- 620
Nkanga Nimeongea nae Na nimemuuliza yote.Maelezo yake bado no hayo hayo kuwa jamaa aliyeokota simu na kumpigia Mara kwa Mara Na ni tofauti na X wake.
Ila kilichonishangaza zaid nilipomwuliza kama X wake anajua yuko posted,akanijibu kuwa anajua na alipompa jamaa habari,akamjibu kifupi tu kuwa angemkubali warudiane yasingefika huko!
Na kwa hilo jibu na kwa akili yangu ndogo I see vivid na X yuko behind this Na labda ndo wanashirikiana Na jamaa kukomoa.
Aksante kwa ushirikiano! nimemaliza kazi yangu. mfikisheni huyo jamaa ktk vyombo vya kisheria. Next time muwe wazi mapema ili mpate msaada mapema.