Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Nkanaga vote ulivyoona vilikuwa kwenye simu!..Na video clip zilirekodiwa pia Na zilikuwa ndani ya simu.
 
Nkanaga vote ulivyoona vilikuwa kwenye simu!..Na video clip zilirekodiwa pia Na zilikuwa ndani ya simu.

Safi, sasa eleza mazingira na kisa cha hizo picha, huyo binti anafanya mapenzi na mbaba, anaonekana yupo confortable kabisa kurekodi, nini uhusika wa huyo baba ktk hizo picha? maana binti anaonekana clear lakini hakuna sura ya huyo mwanaume, which means mwanaume ali-record intentionally, narudia tena nimeziona vema hizo picha, eleza ukweli usaidiwe.
 
Labda nimwite mwenyewe aje kueleza ilivyokuwa!

Nilihisi umepewa hiki kisa na umefichwa ukweli wa picha na kisa chenyewe, sasa ili mpate msaada hapa wewe na huyo binti mwambie afunguke ukweli wake, hapa kuna kila mtu na kitu cha msaada hasa mtakapokuwa wazi, najua hali anayoipata huyo binti na sipati picha ndugu na jamaa zake watakapopata acces ya account hiyo, kuna picha mbaya sana.
 
Si aweke tu mtego, wangapi wanakamatwa, mtegeshee hizo pesa anazodai. Adakwe umfungulie na kesi. Hivi TAKUKURU hawadili na rushwa za hivi au hii sio rushwa nayo? Mie makamera ya kwenye masimu nayaheshimu sana aisee........... hata ukiwa na mumeo faragha hakikisheni simu zimefungwa akhaa kwanza zinapunguzia concentration..................

ushauri mzuri

ila hawa watoto wa digitali kiboko, kha!
 
Ni kweli nimemwuliza anadai hizo Video alipigwa Na mchizi wake wakati waki-do,Na ndo jamaa ame target hapo!
 
Namwonea huruma coz ni kweli yuko kwenye hali mbaya sana hata nikiongea nae I feel her!Na ana siku ya 3 amejifungia ndani.Na wazazi Na ndugu wakijua ndo kush nehi yake!
 
Ni kweli nimemwuliza anadai hizo Video alipigwa Na mchizi wake wakati waki-do,Na ndo jamaa ame target hapo!

Poleni sana, huyo jamaa yake aliyekuwa anafanya naye mapenzi ni mtu wa kwanza kumtilia mashaka, mwambie huyo binti akwambie tena uhusiano wao upoje na huyo bwana kwa sasa?
 
Walisha break na jamaa!Ila hizo picture zilikuwa kwa simu yake aliyoipoteza!
 
kama ana kadi ya ccm...aende polis wata msaidia kwa mikono miliwi
 
Ni kweli nimemwuliza anadai hizo Video alipigwa Na mchizi wake wakati waki-do,Na ndo jamaa ame target hapo!
Mfalme Daudi sasa huyo mchizi wake kwa nini hawi man enough amsaidie huyo dada? Yeye kama mwanaume wa kweli anao uwezo wa kumsaka na kumpata huyo jamaa, si aseme simu ni ya mpnzi wake?
 
Last edited by a moderator:
Walisha break na jamaa!Ila hizo picture zilikuwa kwa simu yake aliyoipoteza!

Safi, haya swali la mwisho na muhimu sana, narudia tena muhimu sana, aeleze mazingira yaliyosababisha waachane na huyo bwana. na aseme ukweli ni simu ya nani ilitumika kurekodi zile picha.
 
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.

Hizo picha ulimpiga wewe au mme mwenzio? Akome
 
ukipiga picha za uchi hakikisha unaziwekea password/pin etc.
 
nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi
hata hizo za sirini wapo watu wa kushea nao lol
 
Namwonea huruma coz ni kweli yuko kwenye hali mbaya sana hata nikiongea nae I feel her!Na ana siku ya 3 amejifungia ndani.Na wazazi Na ndugu wakijua ndo kush nehi yake!

Alipigwa kukufurahisha wewe?
 
Niko nachart nae hapa!Endeleeni kutuma maswali yenu ili nije Na report kamili,ila lengo liwe 1 tu kumsaidia Na sio kumwongezea pressure!Aliyonayo inamtosha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom