Jamani mi nishaduscuss sana hicho mnachosema mwenyewe na nimemuuliza imekuwaje akasema he was just do it for funny,ila kikubwa ndo ishakuwa tatizo na ni funzo pia.Ila pia ndo ishakuwa hivyo,tunamsadiaje!
Thanx Gf angalau umenipa wazo...sasa mnataka username tena.
OK,wanaotaka username mikono juu niwa PM!
hebu tupatia account yake huyo mtu tujionee kwanza huo upuuzi wa huyo mdada anaejuta kwa ujinga wake wakujipiga picha tupu!
Tujilidhishe na post yako kweli au lah.
Inaelekea unataarifa za kutoisha kuhusiana na tukio hili. Mi naomba unifahamishe jinsi huyo aliyeokota simu alivyoweza kulitafuta jina la aliyedondosha hiyo simu na kulipata
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!
Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.
Mtu kapoteza simu then anampigia simu sijui kampigia kwa namba gani,mkuu hii story duh ngoja nipite tu...Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!
Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.
Mtu kapoteza simu then anampigia simu sijui kampigia kwa namba gani,mkuu hii story duh ngoja nipite tu...
Vipi umeshaipata hiyo username? Kama unayo tafadhali unipatie nami nicheck live.
Huyu mwokota simu kawezaje kumpigia mpoteza sim...??kweli pita tu asee!
ngumu nini sasa kwani?
ulivyokazania kuipatsa hiyo username
nashukuru sana kwa msaada wa wa ma it wakuu wa humu ndani!!kwa wale waliokuwa wanaomba jina la account inabidi wavunge cause ime shouted down!
I believe now this is family to stay.