Hata kwenye matank ya idara ya maji kuna vyura.Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
Chura wa SnuraChura au vyura??
Watafute form six watakupa helaWana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
Kasoro kuu ni mfuniko, nimefikiria kuweka mfuniko tatizo hawa waliokuwepo nawatoaje?Pole ila kisima chako kitakua kina kasoro ndio maana vyura wakapata humo makazi